Maisha: Ukikukatana marafiki wa "high class" usikimbilie kuomba hela, kutangaza shida zako ama kuwalaumu pindi mnakutana

Labda kitu ambacho sikipendi ni lawama tu lakini kuombwa napenda sana, kama ninacho nitakupa hata kama siyo ndugu yangu. Siyo vizuri kumtenga mtu kwa sababu ya shida zake. Kutoa ni jambo jema sana, hata Mungu anapenda. Kama hutaki kumsaidia basi kaa na mali zako na uchoyo wako lakini siyo kumchukia mtu kisa kakuomba jamani!!!

Basi nami naomba
 
Mkuu kwanza hio kauli yako nna uhakika sio mzee wako alokwambia,jengine ni hao hugh class unaowaongelea wwe kuna vitu lazima wasaidiwe na hao wa hali ya chini.

Na swala la kuwakwepa hio ni ishara tosha ya roho mbaya na kutokua na imani,maskini hakimbiliki sawa kuna wale kuomba ni tabia yao ila tumetenganishwa na hali za kiuchumi sababu kila mmoja apate kitu kupitia kwa mwenzake
 
kuomba hela ni jambo la kawaida sana kwa kuwa hata hao matajiri wanaomba kwa kukopa benki.
Kwan wanapoomba hzo hela baada ya kuzizungusha ktk biashara zao c wanarudisha mikopo ya watu huwez fananisha na wapiga mizinga ambao hawarudishi na cku zote n wahitaji! Tajir yeye akikopa anakuza business yake na alichofanya kinaonekana ila Kwa wapigaji hakionekani anachofanya zaid ya Kulia shida tu
 
Back
Top Bottom