Maisha: Ukitaka marafiki wa "high class" usikimbilie kuomba hela, kutangaza shida zako ama kuwalaumu pindi mnakutana


Infantry Soldier

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2012
Messages
2,512
Likes
2,454
Points
280
Infantry Soldier

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2012
2,512 2,454 280
Shikamooni wakibwa zangu wa hapa JF......

Hii issue niliwahi kuambiwaga na mama yangu nikiwa mdogo sana ya kwamba watu wengi wa hali ya juu kiuchumi huanza kuwakwepa wale wenye uwezo wa chini kwa maana hawa wenye uwezo wa chini wakikutana na hawa wenye pesa cha kwanza kukimbilia ni kuwaomba hela, kutangaza shida walizonazo pamoja na kuwalaumu mbona siku hizi hawawatembelei kama zamani. Aliniambia ukitaka marafiki wa high class, kwepa sana kuwalaumu na kuomba omba pesa. Keep your problems in your heart. Sio umeenda kwenye msiba umekutana na mjomba anafanya kazi UN baada ya salamu ushaanza kutiririka shida zako. Mtachokwa.

Jamani mbona kuna mambo mengi sana yanayohusu maisha, siasa za ndani na nje ya nchi mnaweza kuzungumza pamoja na masuala ya kijamii badala ya kukimbilia kutangaza shida na kuomba hela?

Kama kuna jambo linaloweza kumjengea heshima mtu wa kipato cha chini kisha akapendwa na kupata marafiki wale wa high class basi ni kujiwekea mipaka ya mazungumzo na kujua ni kipi cha kuongea na kipi si cha kuongea mbele ya watu wa namna fulani. Hiyo inajenga sana heshima and they won't feel bored around you.

KIJANA KUWA MZALENDO. IPENDE TANZANIA. USITUMIKE KUICHAFUA NCHI YAKO.
 
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
20,337
Likes
1,834
Points
280
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
20,337 1,834 280
Mizinga kibongo bongo haiishi.
 
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Messages
11,166
Likes
8,610
Points
280
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2012
11,166 8,610 280
Upo sahihi kabisa,ila inategemea na mtu na mtu,binafsi kama wewe ni mtu wangu rafiki ndugu nakujua umekwama sisubiri uniombe eti nitakupa channel yoyote na hizo sh 2 tatu nitakupa hata kabla hujaniomba.
Siwezi kukuacha mtu wangu unadharirika au nikukimbie.
Tujitahidi kuwa na cycle nzuri kwa akiba yetu ya baadae,maan kikweli maisha hayana formula,manual wala prospectus useme utafungua kurasa huu usome.
 
ruralofficer

ruralofficer

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2014
Messages
1,527
Likes
1,681
Points
280
ruralofficer

ruralofficer

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2014
1,527 1,681 280
Marhaba mleta mada. Inanikera sana jamaa tumepotezana miaka zaidi ya 10 bahati nzuri tumerudisha mawaliano,siku moja baadaye unanipiga mzinga. I hate this
Hahaa au jamaa hujawasiliananae mda sana anakupigia simu swali la kwanza "anakuuliza uko wapi sikuhizi?"
 
Tychob

Tychob

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
1,243
Likes
904
Points
280
Tychob

Tychob

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
1,243 904 280
Hakika hii tabia ya kuomba inakera
 
P

poleni

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Messages
203
Likes
399
Points
80
P

poleni

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2013
203 399 80
Ni kweli vipe nyongo vilivyo vya watu watakupenda watu... Hakuna kitu kibaya kama kuomba.. Kunaondoa utu na kufedhehesha sana..
 

Forum statistics

Threads 1,272,369
Members 489,924
Posts 30,449,122