mawazomazito
New Member
- Dec 26, 2020
- 2
- 0
Naona maisha ya Ulaya ni kama kucheza kamali, unaweza kutoboa au ukawa kwenye hali mbaya zaidi ya ulivyokua Tanzania.
Kwa mfano nimeona hii nyaraka inazagaa WhatsApp huyu jamaa, Evith Philbert, mimi namjua alikuwa mchapa kazi sana kabla hajaenda nje. Ila nasikia sasa hana kazi, anaishi kimjini zaidi.
Naona ana madeni mpaka basi na hana mali yeyote. Ila naona kwenye mitandao ya kijamii toka zamani anaonekana anaweka picha za kujionesha kuwa ana maisha mazuri. Hivi kwa mlioko nje maisha ya huko ni magumu sana au nini hasa shida?
Na, swali langu lingine kwenu je utabaki Ulaya hata kama mambo hayaendi au utarudi tu Tanzania ujijenge upya?
Soma hiyo nyaraka halafu embu tulijadiri hili vijana wenzangu.