dottoz
JF-Expert Member
- Jan 29, 2012
- 1,510
- 868
Kuna nyakati mkuu life linakupga mpaka unahisi dunia imekutenga acha tu niliwahi hisi hvyo kpnd flani acha tu lakn kutokana na roho ngumu na kuwa karbu na mwenyezi mungu hali ile nikaishnda lakn ni hali ambayo hutokea,ni mbaya sanaa mkuu lakn ukikaa na mzunguko wa watu na kumshikilia bwana awe mwokozi wako kila wazo baya litakuondoka na kujihisi mpya kabsaaaa.
Kwa hali sasa tunao weng sanaa wanaofkia hatua hii mbaya.
Kwa hali sasa tunao weng sanaa wanaofkia hatua hii mbaya.
Watu wanaojiuwa uwa sitoi pole wala mackitiko,,,apo unajikatia tiketi ya jahannam,,,majuto ni mjukuu.