MAISHA PLUS: Yanayojiri...!

Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,253
11,597
Jana jioni wakati tunaangalia kipindi cha Maisha Plus, walionesha kuwa washiriki wawili (wote wasichana), mmoja kutoka Moro na yule wa Zanzibar walitolewa na kusindikizwa kupata usafiri wa kwenda kwao. Tulichelewa kidogo na kukuta sehemu kubwa imepita kwa hiyo hatukuona kilichotokea na kusababisha watolewe. Kama kuna mtu aliona basi tunaomba atupe habari zaidi.
 
Hata mimi nilibaki na mshangao! Mwenye taarifa atujuze maana wale mabinti walikuwa wanalia na Babu hakueleza nini kimetokea japo aliwapigia simu ndugu zao na kuwaeleza kuwa wao wenyewe wakifika nyumbani watasema
 
Hata mimi nilibaki na mshangao! Mwenye taarifa atujuze maana wale mabinti walikuwa wanalia na Babu hakueleza nini kimetokea japo aliwapigia simu ndugu zao na kuwaeleza kuwa wao wenyewe wakifika nyumbani watasema

Ni kweli, ila nadhani wangesema tuelewe kwa nini wametolewa kwa sababu hiyo ilikuwa nje ya utaratibu wa kawaida. Kama kuna mwenye namba ya Masudi anaweza kutuwekea tumuulize.
 
Kilichonishangaza zaidi ni kwamba kuondoka kwao kulikuwa kama adhabu maana walitembea mwendo mrefu sana wakiburuza masanduku yao na mwishoe walionekana kuvua hata viatu kabla ya babu kuwapa lift! Na ule ukimya waliokuwa nao ndani ya gari haukuwa wa amani. Babu alionekana mwenye hasira na hakuwa anawasiliana nao kama kawaida yake (ubabu babu) na hii inaelekea ilikuwa alhamisi au ijumaa maana ni siku mbili kabla ya siku ya mwisho...ambayo ni leo
 
Uendapo Hospitali tambua kuna mlango mmoja wa kuingilia na miwili ya kutokea -we kaitama !!! hii ndo nn?
Mlango mmoja wa kutokea na mwingine wa kutolewa!
 
Ni kweli, ila nadhani wangesema tuelewe kwa nini wametolewa kwa sababu hiyo ilikuwa nje ya utaratibu wa kawaida. Kama kuna mwenye namba ya Masudi anaweza kutuwekea tumuulize.

Kipanya ni mtu wa karibu na Msanii, labda atawasiiana nae kujua kilichojiri then atuhabarishe,
hello msanii, hebu sema na kp mara mja halafu utuletee za ukweli!!
 
mhhh.
watanzania hatuwezi hata kufanya jambo moja bila longolongo?????????
aghhhhh.
 
Yule Neema wake amebaki bado.Akishinda basi confirmed ule uvumi uliokuja hapa jamvini kuwa jamaa anamla na pia kuwa ndiye mshindi aliteandaliwa
 
Uendapo Hospitali tambua kuna mlango mmoja wa kuingilia na miwili ya kutokea -we kaitama !!! hii ndo nn?
Mlango mmoja wa kutokea na mwingine wa kutolewa!

Tehe teeeeeeeeh!
Unaingia mlango mmoja ila kutoka unaweza pitia mlango huo huo uliojia au ule wa mortual.....
 
Kwamba wamefukuzwa but wako kwenye ushindani wakishinda wataitwa!!! Ni nini hiki sasa?? Basi kila mtu atamisbehave atimuliwe kwenda nyumbani akale bata then still apate mihela!! Nin maana ya disqualified????
 
Yaani anacreate mijadala ambayo haikuwa na lazima kwani ni wazi ikishafika hapo no one gonna vote for them.. Sasa eti bado wapo kwenye shindano duh! Alafu huo mjadala wa kumuandaa/kutembea na uyo binti ngoja nipeluz ulinipita..
 
kwa wale waaanaongalia maisha plus live final\
mmoja wa member ambae ameombwa kutoa hotuba
kwa mh mgeni rasmi mama shamsa mangunga waziri wa maliasili na utalii
mshiriki huyo aliomba mh sana kujua tumeanzisha foundation ya
maisha plus foundation mama tunaomba uwe wa kwanza kutuchangia hasa pale
tutakapokuitaji,tukitoka hapa tutaenda muhimbili kutoa misaada kwa wagonjwa
mama tutaomba uwe mmoja wa watakaofanya usafi pale muhimbili

Mhhhhhh masoud masoud big up!!!!mpwa masa/shy NGO ni muhimu kwenye maisha ya mbeleni jamani embu tukae tuanzishaje

JF CHILD FOUNDATION.....KAZI KWETU KUTAFUTA WAFADHILI
 
Ngoja tuone mana zis time walisema mshindi atakuwa jike naona wapo man na woman..ila naona likely huyu kidume atashinda
 
@Senator..pia hayo mambo ni moja ya vigezo ambavyo watazamaji wanatumia kama kigezo kuwapa kura au la..so finally ingewacost tu badala ya yeye kuwatoa angewapa adhabu tu ya kawaida!.. Cjui hana vifungu vya sheria za kuongoza hiyo mp!
 
Hapa naona huyu mama shamsha kaja na wapiga kampeni wake ..anyways..dah masoud kakiri kuwa amechonga sijui nikweli pilika za maisha plus au kuna lingine ndani yake?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom