Maisha Plus nyuma ya pazia!

Zyansiku

Member
Jul 27, 2009
49
10
katika kuthibitisha kile ambacho kimekuwa kikihisiwa na baadhi ya watu juu ya ushiriki wa dada zetu katika matukio mbali mbali ya ulimbwende nk kuwa ngono ni kigezo muhimu na wahusika huruka vihunzi mita 1000 mara wanapo ulizwa juu ya tuhuma hizo, ukweli unazidi kudhihirika kuwa yawezekana kweli ngono ni kigezo muhimu kwa mengi ya mashindano hasa yanayohusisha wasichana.

Haya yamefahamika baada ya chanzo cha habari hii chenye uhakika kuthibitisha kuwa ndani ya Maisha Plus ngono nje nje! na wanaoongoza kwa ngono ni viongozi waandamizi wa maisha Plus akiwemo Kp. habari zaidi zinasema ni hatari sana kwa mshiriki wa kike akitakiwa na viongozi hao na yeye kukataa kata kata lakini kibaya zaidi washiriki wanaishi maishi double standard ikiwa ni pamoja na wengine kuwa na access na nje ya kijiji, kwa wale wanaofuatilia mchezo huu watakumbuka katika kutajana majina kwa mara ya mwisho mshiriki Neema kutoka Tabora alimtaja mshiriki wa Shinyanga Neema(washinyanga) kuwa anapata taarifa za nje hali ambayo kipanya alimaliza mahojiano hayo haraka haraka na wakati mshiriki Kawther msomali kutoka Dar kuna siku wakati amepona kwenye eviction alipata kusema kuna mengi yanayotendeka nyuma ya pazia ambayo si rahisi kwa watu wa nje kuyaona na kuyajua! lakini pia siku chache zilizopita mshiriki mwingine alipata pia kusema Maisha Plus bila ukimwi inawezekana, hii ni kwa wale wanao fuatilia saaana mchezo huu watakuwa wamepata kusikia haya taarifa mpya kutoka maisha Plus zinadai kuwa Mshiriki Neema wa Shinyanga ni kipenzi cha Kp wanapika na kupakua pamoja kila uchao kibaya zaidi vinywaji kama vile pombe nk ambavyo Kp huletewa kama kiongozi mara kwa mara kama si kila siku basi hutumia nafasi hiyo pia kumpa Neema wa shinyanga ili aburudike nae na habari zimevuja kuwa Neema wa shinyanga ndiye mshindi wa Maisha Plus 2010! na Kp ana mawasiliano ya karibu kila siku na baba wa Neema shinyanga ambaye taarifa zinadai mawasiliano yake na benki si mabaya sana na muda huo Neema pia huutumia kuwasiliana na rafiki na watu mbali mbali.

HONGERA KIPANYA! HONGERA NEEMA SHINYANGA!
 
Hebu acha majungu.

That is a game. So hate the game and not the player.

Watu mko narrow minded kishenzi yana. Msichana akipata opportunity basi anapewa kwa minajili ya ngono. Ungepata wewe hiyo opportunity ungeioanisha na sababu za kingono au ingekuwa zali? Acheni maneno fanyeni kazi za maendeleo.

KP usirudi nyuma kamwe.
 
Acheni wafu wazike wafu wenzao!Angalieni daima taarifa za habari rather than wasting time on maisha plus!
 
Mkuu Zyansiku uko sahihi kabisa, nilikuwa naangalia ile jana na wife nikamwambia kabisa hizi fadhila anazofanyiwa Neema hizi si za kawaida. walijidai kumtoa feki, ili isionekane kama ni upendeleo wakamuunganisha na yule jamaa wa kiume, wakapelekwa saluni sijui kufanywa nini huko, nadhani ilikuwa opportunity ya kwenda kumtumia. sasa wamerudi tu kundini kapigwa na keki ya Birthday, na mwenzie aliyekwenda naye akawa evicted yeye amebaki. Mkuu AMA nadhani jaribu kufuatilia vizuri mtiririko wa matukio yanavyokwenda pale kijijini utaelewa. Lisemwalo lipo baba
 
tusikimbilie ku crush kila kitu, lisemwalo lipo, kwani credibility ya watu kama kp c inaeleweka kua ni mtu wa totoz, siwez shangaa maana viongozi wa uo mchezo ni macheck bob tu wako pale kutafuta wasichana!
 
If it is true, then there is no need of this mchezo. Sasa Abdul naye alitoa nini akashinda? Wanaume wao wanatoa nini?
 
sasa kwani kile kijiji kipo eneo gani ndani ya UKANDA wa pwani ya bahari ya hindi.
 
Kwa maisha wanayoisha wanakijiji pale maisha plus ni ya kuigiza mno na hakuna kitu real kabisa pale. Maisha yale si ya kijijini hata kidogo. Na mimi nilishahisi yaani katika pita pita yote ya mikoani hawakulani kweli?
 
Mkuu Zyansiku uko sahihi kabisa, nilikuwa naangalia ile jana na wife nikamwambia kabisa hizi fadhila anazofanyiwa Neema hizi si za kawaida. walijidai kumtoa feki, ili isionekane kama ni upendeleo wakamuunganisha na yule jamaa wa kiume, wakapelekwa saluni sijui kufanywa nini huko, nadhani ilikuwa opportunity ya kwenda kumtumia. sasa wamerudi tu kundini kapigwa na keki ya Birthday, na mwenzie aliyekwenda naye akawa evicted yeye amebaki. Mkuu AMA nadhani jaribu kufuatilia vizuri mtiririko wa matukio yanavyokwenda pale kijijini utaelewa. Lisemwalo lipo baba

dah, mkuu, ina maana kumbe alivotolewa na yule jamaa mchungaji kutoka mbeya alikuja kurudishwa? manake sijaangalia siku mbili hizi...na to be honest 'nilishangazwa' kuwa kwa nini atoke, na pia wala hakuonyesha kuwa na wasi wasi alivopelekwa kwenye kizimba cha kutoka

kaaz kweli kweli
 
Kwa maisha wanayoisha wanakijiji pale maisha plus ni ya kuigiza mno na hakuna kitu real kabisa pale. Maisha yale si ya kijijini hata kidogo. Na mimi nilishahisi yaani katika pita pita yote ya mikoani hawakulani kweli?
kwani kile kijiji kipo wapi ? naomba kualifiwa Wandugu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom