Maisha plus ni hatari mwaka huu.

mgange hussein

Senior Member
Sep 10, 2012
159
43
Nimeangalia katika TBC wasichana wanalazimishwa kuinua gogo zito,hatimae likawashinda na hatimae kumuangukia mmoja na kupoteza fahamu na kupotezea kipindi hewani na kuweka matangazo mengine.Haijulikani ameathirika kiasi gani.Wajaribu kuangalia kazi au mazoezi ya kuwapa hata kama mshindi anapewa Mil 20
 
Upuuzi, wanafanya nini huko. Hiyo ni JKT au ni nini. Njaa zitatuua
 
Nimeangalia katika TBC wasichana wanalazimishwa kuinua gogo zito,hatimae likawashinda na hatimae kumuangukia mmoja na kupoteza fahamu na kupotezea kipindi hewani na kuweka matangazo mengine.Haijulikani ameathirika kiasi gani.Wajaribu kuangalia kazi au mazoezi ya kuwapa hata kama mshindi anapewa Mil 20

Ni afadhari wangeonyesha na huduma waliyo mpa kujenga imani kwa wananchi wanaofatilia kipindi hiko....
 
HAKI SAWA KWA WOTE!!! Si ndio msemo wa kila siku, Kwamba hakuna kazi ya Mwanamke wala Mwanaume?
nakumbuka olevel gals walidai haki sawa wanaume tukawa tunadeki darasa one day kazi ya kushusha magunia na kuyapanga stoo wanaume wakapiga nusu wakawasusia mademu loooh kilinukaje ila ndo hivyo tukashinda maana maticha waliwapa support mwanzoni.. pole zake aliyeumia
 
kabla ya kupelekwa huko walipimwa afya zao kweli? pengine mtu hata mazoezi hafanyi ukambebeshe magogo si kutafuta matatizo huko
 
Niliona kipanya anamlazimisha dada flani kupanda juu ya mti mrefu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom