maisha plus inasaidia nini ??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
wana ndugu najua wengine watakuja kuuliza bongo satra seach mi najua wakitoka pale wanakuwa wanamuziki wanapata vipaji na ajira zao kuna hawa maisha plus mwishowe mtu anafaidika na nini mbeleni ukiacha pesa na kama atoshinda inakuwaje....
kipanya naipenda sana lakini nisaidie kwa hili
 
Ok, kama hatoshinda anakua amesha pata skisiposha ya kutosha ,so ni juhudi zake mwenyewe mshiriki kujitoa kwa njia yeyte ile!
 
Binafsi naona Maisha plus hasa ya awamu hii inayoendelea ni upuuzi mtupu. Sielewi kama wana-edit kwanza hayo wanayoyaonyesha maana siku moja palionyeshwa kituko walipokuwa baharini/pwani. Kipanya unajua tunaangalia hicho kipindi na watoto how comes mnaonyesha vitu vya ajabu???
 
Maisha plus ni another ectopic investiment by our media channels... hasa wanapoiweka prime time kama wanavyofanya TBC... Hakuna jipya wala promotion ya mambo yatakayosaidia watoto wetu hasa kwenye maisha ya kisasa na hiyo EAF on board, pili ule ni muda ambapo familia nzima inakuwa nyumbani then tunajikuta tunaangalia vijana wakijaribu something artificially

Hivi kwanini pasiwe na vile vipindi kama vya quizz, general knowledge nk?
 
Ivi wanapotuonyesha washiriki wana 'date' humu ndani ndio wanawafundisha nini watoto wetu na washiriki wajao?

Afu sijui ni fasheni au ulimbukeni wa kuiga BBA, utakuta wanaume wamevua mashati hata nyakati na mvua au sijui ndo tuwaone sex!! vifua vyenyewe hakuna.
 
Maisha plus ni another ectopic investiment by our media channels... hasa wanapoiweka prime time kama wanavyofanya TBC... Hakuna jipya wala promotion ya mambo yatakayosaidia watoto wetu hasa kwenye maisha ya kisasa na hiyo EAF on board, pili ule ni muda ambapo familia nzima inakuwa nyumbani then tunajikuta tunaangalia vijana wakijaribu something artificially

Hivi kwanini pasiwe na vile vipindi kama vya quizz, general knowledge nk?

Mimi nakimind sana kile kipindi cha International inter University Battle of brains, Zain Africa Challenge, ingawa mara nyingi wanavyuo wetu wanakuwa weupeee!! Makampuni mengine yangeweza kutengeneza programme kama zile kwa levels mbalimbali ingependeza sana.
 
Moja:kuongeza ajira,watu wengi wamepata ajira pale
Mbili:washiriki wanapata exposure,wengi hawajawahi kuishi maisha ya vile,yanawajenga binafsi,yanawapa ujasiri.
Suala la maadili yamemong'onyoka sana,kumzuia asidate akiwa mle ni ngumu,cha msingi vote kum-eliminate anayeendekeza ulimbukeni
 
Mimi nakichukulia kipindi kile kama ni attachment ya ubunifu uliotumika kubuni BBA kama ambavyo BBA pia haina malengo ya ki utamaduni wala ki uchumi, zaidi ya ushabiki wa wenye pesa kuona vijana wanavyo hangaika ndani ya jumba lile. Ni vivyo hivyo naichukulia hii Maisha plus ya kwetu, sitegemei jipya. Ki uchumi inamfaa yule tu atakaye ibuka kidedea kama ilivyo tokea kwa Abdul kwa wengine inakuwa back to square one.
 
Ni upumbavu uliokomaa.
Na kama ukiwa makini kwa miaka ya karibuni utagundua kuwa kuna kundi la watoto wetu limekuwa na utamaduni wa kuiga, utamaduni wa kipumbavu.
Na wengine hawana kufuatilia masomo bali wao ni kukaa na kufuatilia upumbavu wa bongo star search au huo uharo wa maisha plus.

Hebu ngoja mi niulize swali hili...
Tangu bongo star search ilipoanzishwa ni mshindi gani wa shindano hilo keshawahi kuwa star wa Music hapa nchini?
Zaidi ya mastar wetu wale wale kina Prof; J, Lady JD, Nature, Sugu J' moe na Ferooz?

Sasa kuna ulazima gani wa kuwa na upumbavu kama huu?

Hiyo maisha plus ndo ushuzi kabsaaaa.
Ni mradi wa wachache waliostaafishwa kazi huko walikokuwa then wakabuni kamradi kao.

So ni upumbavu tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom