Lucas JF-Expert Member Dec 3, 2011 2,457 1,108 Dec 2, 2012 #1 ndio iko live TBC1, karibuni wanaoifuatilia
Lucas JF-Expert Member Dec 3, 2011 2,457 1,108 Dec 2, 2012 Thread starter #2 sasa hii project wangeshirikiana na jkt ingekuwa na maana zaidi!
M mwila Member Oct 17, 2012 38 10 Dec 2, 2012 #3 Mshindi kama kapangwa!! Ila sio mbaya, season hii naona wanapromote wamawake!! Kila jema!!
Loy MX JF-Expert Member Mar 26, 2012 1,253 312 Dec 2, 2012 #4 mshindi anapangwa ndo maana Masoud anazidiwa hata Dume challenge
Rubi JF-Expert Member Oct 5, 2009 1,615 326 Dec 3, 2012 #5 Jamani mtuambie anapangwa kivipi, Maana wengine kazi yao ni majungu tu, Mioyo imejaa inda, chuki na ubinafsi ni bora kuwa wazi kulliko kuimagne.
Jamani mtuambie anapangwa kivipi, Maana wengine kazi yao ni majungu tu, Mioyo imejaa inda, chuki na ubinafsi ni bora kuwa wazi kulliko kuimagne.
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,638 68,576 Dec 3, 2012 #6 Mbona amedondoka sasa huyo mshindi?
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Nov 25, 2010 62,204 128,020 Dec 3, 2012 #7 Baada ya kuteswa kwa kulazimishwa kutembea kwenye miba pekupeku warudi nyumbani kupumzika sasa. Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Baada ya kuteswa kwa kulazimishwa kutembea kwenye miba pekupeku warudi nyumbani kupumzika sasa. Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
C Concrete JF-Expert Member Mar 12, 2011 3,605 549 Dec 3, 2012 #9 King Kong III said: Mbona amedondoka sasa huyo mshindi? Click to expand... Atakuwa ana pamba matukio, lengo ni kuonyesha some sort of Surprising.
King Kong III said: Mbona amedondoka sasa huyo mshindi? Click to expand... Atakuwa ana pamba matukio, lengo ni kuonyesha some sort of Surprising.
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,638 68,576 Dec 3, 2012 #10 Concrete said: Atakuwa ana pamba matukio, lengo ni kuonyesha some sort of Surprising. Click to expand... Yani Bongo Kila mtu mwanamaigizo acha tuuu.......
Concrete said: Atakuwa ana pamba matukio, lengo ni kuonyesha some sort of Surprising. Click to expand... Yani Bongo Kila mtu mwanamaigizo acha tuuu.......