maisha plus 2012 fainali leo

sasa hii project wangeshirikiana na jkt ingekuwa na maana zaidi!
 
Mshindi kama kapangwa!! Ila sio mbaya, season hii naona wanapromote wamawake!! Kila jema!!
 
mshindi anapangwa ndo maana Masoud anazidiwa hata Dume challenge
 
Jamani mtuambie anapangwa kivipi, Maana wengine kazi yao ni majungu tu, Mioyo imejaa inda, chuki na ubinafsi ni bora kuwa wazi kulliko kuimagne.
 
Baada ya kuteswa kwa kulazimishwa kutembea kwenye miba pekupeku warudi nyumbani kupumzika sasa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom