Tuacheni utani bhana, she is Cute, hamjui raha ya kuku wa kienyeji nyie mnaobeza hio kitu. Hao wamefundwa ati na kila stage anai-perform kwa kiwango cha juu sana, weewe shangilia hao wa kisasa tu. Ohhh huyo anaenda kuogea mtoni, akimaliza anakaa kwenye jiwe na kujisugua kwa kijiwe natural na anajifua kidog kisha anasubiri jua limpige na kufuli likauke avae huku akijipaka sabuni.....baada ya hapo usiombe ukutane naye sasa kuleeeee. Mmmmh we acha tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.