Maisha ni urembo, jirembe urembuke

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,597
154,857
420332_282093408529893_344392628_n.jpg
 
jogoo wa shamba hawiki mjini, mtafutie kioo apunguze hiyo chaki aliyopakaa
 
Tuacheni utani bhana, she is Cute, hamjui raha ya kuku wa kienyeji nyie mnaobeza hio kitu. Hao wamefundwa ati na kila stage anai-perform kwa kiwango cha juu sana, weewe shangilia hao wa kisasa tu. Ohhh huyo anaenda kuogea mtoni, akimaliza anakaa kwenye jiwe na kujisugua kwa kijiwe natural na anajifua kidog kisha anasubiri jua limpige na kufuli likauke avae huku akijipaka sabuni.....baada ya hapo usiombe ukutane naye sasa kuleeeee. Mmmmh we acha tu
 
Back
Top Bottom