Maisha ni safari fupi (Life is a short trip)

Hatua 3 kuu, lazima upitie taka usitake:-
  • Kuzaliwa
  • Kuishi
  • Kufa
Kwenye kuishi, tunatumia muda mwingi; kama unaweza kuzunguka dunia yote, fanya hivyo; kama unauwezo wa kununua ndege fanya hivyo; kama unataka ule starehe zote, fanya hivyo n.k. Haimaanishi usipofanya starehe hutokufa; kifo kipo pale pale.​
 
Huwa nikiwaza kifo, nakuwa sina hamu ya usingizi, inabidi nipate kahawa; kwa sababu, nitalalaje sasa hivi wakati ipo siku nitalala fofo na sitaamka tena?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom