Maisha ni kama hadithi

Vaislay

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
4,532
1,819
Häbari zenu ndugu zangun wanajf.ni furaha na kumshukuru mungu kwa kutuwezesha kukutana tena.nipo hapa tena nikihitaj mchango wa mawazo yenu...Miaka miwili iliyopita nilikuwa na mahusiano na kijana mmoja,alijitahidi kuonyesha ananipenda lakini mi nilikuwa simwamini kama mjuavyo watu wapole wa livyo,unaweza ukajiaminisha hafanyi kumbee balaa.

Yule kijana anampenda sanaa mamake,mamake yupo nje ya mkoa tunaoishi lakini yule mama atafunga safar mara3 kwa mwezi akidai anakuja kufunga mzigo wa biashara..

Sikatai kumpenda mzazi lakini baadae ilinitia viulizo,kijana yule mara kwa mara alikuwa akiniambia yuko tayar kumwacha mke wa ndoa kwajili ya mamake(hajaoa bado)endapo mamake atasema amwache,au mwanamke akizingua kwajili ya mamake,nikaliweka moyoni.

Kingine yule mama alikuwa akifika anafikia gest, kijana yule kazi hazitafanyika atataka siku nzima ashinde gest kwa mamake mpaka sa6 usiku..mamake akipiga simu ananiambia nisiongee mamake asisikie saut ya kike..kilichonishangaza na kunipa maulizo,yule kijana ananyumba kubwa tu,kwanini yule mama asifikie kwa mwanae?

Kifupi mamake akitua tu,muda wa kukutana na kijana haupo...jaman,nikaona hapa sipawez nikachapa mwendo bila kuaga nikabadili na nr ya simu..Nashangaa yule kijana ananitafuta tena kupitia rafiki zake anadai ananihitaj,tisa kumi akapata nr na kunipigia ananiambia anataka kunioa...na mama yake sio kama kafariki bado yupo.hiyo ndoa si itakuwa shida.

Hebu nisaidien, huo upendo wa mama uko sahìhi?

je wakiwa wanashinda gesti huwa anakupa taarifa??? je baba wa huyo kijana yu hai??? je huo mzigo anaosema anafunga ulishawahi kuuona??

je wakiwa wanashinda gesti huwa anakupa taarifa??? je baba wa huyo kijana yu hai??? je huo mzigo anaosema anafunga ulishawahi kuuona??

Kijana ananambia nipo gest or lodge wanapiga mahesabu na bajet za mzigo, na nilishachunguza hilo ni kwel wanakuwa huko.huyo mama, kijana huyo alizaa na baba tofaut na alieolewa nae miaka mi4 iliyopita napo walitengana(ni singo ledi tangu miaka 4 iliyopita).kwa upande wa kufunga mzigo sijawah kuuona

kijana ananambia nipo gest or lodge wanapiga mahesabu na bajet za mzigo,na nilishachunguza hilo ni kwel wanakuwa huko.huyo mama, kijana huyo alizaa na baba tofaut na alieolewa nae miaka mi4 iliyopita napo walitengana(ni singo ledi tangu miaka 4 iliyopita).kwa upande wa kufunga mzigo sijawah kuuona

je huyo mama anashughulika na nini ??? je huwa hawatoki hata kwenda sehemu za starehe ????

je huyo mama anashughulika na nini ??? je huwa hawatoki hata kwenda sehemu za starehe ????

huyo mama sahizi yupo tu,mwanae anadai anaendesha mrad ila mrad huo sijawah kuuona..ni mara moja tu walienda sehem ya burudan.napo kijana alidai aliboreka sana walipoenda kule

Mama na mtoto kukaa lodge mpaka saa sita hata kama ni mama yako mzazi inatia shaka
Kuna mazingira ambayo unaweza kukaa na mama kwa mfano yuko kwako na mko sebuleni ambako kuna watu wengine ndani ya nyumba kama mfanyakazi
Ila lodge mpaka saa sita ya usiku tena ukimpigia simu akiwa na mama yake hata kuipokea ni shida
fanya uchunguzi wako taratibu wala usiwe na papara weka hata watu wa kuchunguza kweli huyo mama anakuja kufuata mzigo
Na kijijini kwake uliza ana biashara gani anayokuja kufunga mzigo kwa mwanae
Ma utapata taarifa tuu

ndugu yangu huyo mama sio mama wa kijijini ni mama wa mjin.sio kwamba simfaham namfaham vizuri,japo yeye hanifaham mimi

Duhh kwani bado ananyonya.

Anyway
We unampenda huyo kaka??

Labda mamii alikuwa analala gesti sababu
huyo kaka alikuwa aakuficha weyee.

ndugu yangu huyo mama sio mama wa kijijini ni mama wa mjin.sio kwamba simfaham namfaham vizuri,japo yeye hanifaham mimi
hapo kwenye red panaonesha tu kua hlo jimama ndo linalomuweka mjini na sio mama ake

.........mimi naona wanakuzungusha tu,nimejaribu kusoma thread yako na majibu ya wadau,huyo hata kama ni mama yake watakuwa wanapeana mambo maana wazazi wa siku hizi mhh!!!achana na huyo kijana,kama yupo tayari hata kumwacha mke kwa sababu ya mama,napata mashaka sana!huna haja ya kuishi na mashaka wakati vijana wapo kibao,juhudi zako tu

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom