Maisha na vipindi vyake..

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
May 16, 2011
3,695
5,032
maba.jpg
 
Unaona jinsi hekima na busara vinavyoletwa na umri wa mtu; hiyo picha ya chini huyo mzee Singh haoneshi kabisa emotions zake wakati wa furaha au majonzi unlike kijana Obama ambaye uonesha wazi wazi anapofurahi au kukasirika!! Uzee dawa nyie vijana.
 
Huyo Manmohan alivyo duh...! haiwezekani bwana, nothing is permanent but change...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom