Maisha mazuri Sana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,543
44,687
Kimsingi maisha Ni mazuri na Sisi tunafurahia Sana kuzaliwa Tanzania na tumeuona ukweli wa Mambo toka tulipotoka na tunapokwenda.

Hakuna anayetuzuia kufanya mazoezi mida ya jioni,tunao Uhuru mkubwa wa kujipa uponyaji kwa kutoa jasho na sumu mwilini.Sijawahi kuona polisi anazuia mtu kufanya mazoezi.

Chakula kipo na kinapatikana kwa Bei rahisi sana.Unga wa ugali Bei yake imeongezeka kidogo Sana lakini mboga mboga mfano kabeji au matembere bei yake sokoni Bado Ni 500 kwa fungu.sijawahi kusikia fungu limeuzwa 2000.

Uhuru wa kutembea mahali popote upo hakuna anayezuia mtu kutembea hakuna polisi anayeonea mwananchi kwa sababu ya kutembea.

Wananchi tuna furaha Sana tunaiomba serikali ya awamu ya tano izidi kuiangalia kwa ukaribu sekta ya kilimo pamoja na sekta ya mawasiliano na uchukuzi.
 
Wenzenu wanataka uhuru, hasa uhuru wa kupasuana malinda, maana ndio kiwango cha mwisho cha uhuru ambacho marikani wanatoa.
 
Ni lini watu walikuwa hawaruhusiwi kufanya mazoezi au kutemhea???Hata kabla ya uhuru watu walikuwa wakifanya hayo!Upuuzi tu mnatuletea hapa!
 
Ni lini watu walikuwa hawaruhusiwi kufanya mazoezi au kutemhea???Hata kabla ya uhuru watu walikuwa wakifanya hayo!Upuuzi tu mnatuletea hapa!
Watu wanataka uhuru gani, wa kupiga kelele majukwaani. Hii awamu tunakosoa kwa vitendo, kama huwezi subiri siku ya uchaguzi, uwaambie wapiga kura wako, nilikatazwa kuwaletea maji.

Ndio utajua kwamba uhuru tuliishapata mwaka 1961.
Nikiamuangalia prof jay mzee wa mitulinga, najisemea wapinzani wote wangekuwa kama huyu jamaa, ccm isingekuwepo mpaka leo hii.
 
Lissu baada ya kutumia haki yake ya kikatiba vyema,unafahamu watawala walichomfanya!Kuna uhuru hapo?Au uhuru upo kwa watu wasiojishughulisha na siasa na kama wanajishughulisha nazo basi wawe upande wa waunga mkono!Shame!
 
Kwani wakolono walikuwa wanazuia watu kufanya mazoezi?
Kama maendeleo wakoloni ndio walifanya maendeleo ya maana na waliondolewa ila tangu Maccm zmeingia hakuna lolote!

Acha kutuletea ukamongo wako hapa
 
Lissu baada ya kutumia haki yake ya kikatiba vyema,unafahamu watawala walichomfanya!Kuna uhuru hapo?Au uhuru upo kwa watu wasiojishughulisha na siasa na kama wanajishughulisha nazo basi wawe upande wa waunga mkono!Shame!
Ni haki yako kikatiba kukosoa na kushauri serikali, ila hakikisha hudharau dola mamlaka.

Lissu sijui yalimkuta yale sababu ya nini, hata wewe nikikuuliza lissu alifanya nini mpaka apigwe jibu huna.
 
Ni haki yako kikatiba kukosoa na kushauri serikali, ila hakikisha hudharau dola mamlaka.

Lissu sijui yalimkuta yale sababu ya nini, hata wewe nikikuuliza lissu alifanya nini mpaka apigwe jibu huna.
Kusema ndege yetu imekamatwa kisa madeni,kuwa mkosoaji wa sera za serikali ya awamu ya 5!Hilo ndiyo kosa lake kubwa!
 
Kwahiyo alikuwa anaiombea michango au, alikuwa anafanyaje!!!??
Vyovyote vile alivyokuwa anafanya,alistahili alichotendewa?
Kuutarifu umma kuwa ndege imekamatwa ni dhambi?Kweli awamu hii mmekaa kufukia makosa ili muonekane wasafi!
 
Vyovyote vile alivyokuwa anafanya,alistahili alichotendewa?
Kuutarifu umma kuwa ndege imekamatwa ni dhambi?Kweli awamu hii mmekaa kufukia makosa ili muonekane wasafi!
Mimi sijui hayo, wewe ndio umesema.

Kwahiyo serikali ikiwa inadaiwa shingapi, na ililipa ikapewa ndege!!
 
Back
Top Bottom