Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,295
- 33,079
Chupi yake kama ya dactari wa tembo kutoka lumumba.
Sasa huyu ni Gamba au Gwanda?Amevaa chupi ya chama.
:teeth: Sasa wewe unaamuwa kumtaja kabisa kwa jina khaaaa kasheshe kweli JF. Never boringKapuya huyo huoni kale Kabinti kanaoga
kwenye dimbwi(swimming pool)
Sasa huyu ni Gamba au Gwanda?
Sa mbona hanyoiKapuya huyo huoni kale Kabinti kanaoga
kwenye dimbwi(swimming pool)
Hongera zake , Ila hicho kikwapa Loooooooooooo!!!!!!
Duuuh tumbo ka fenesi
Sa mbona hanyoi