Maisha matamu

Ukiruka stage lazima utairudia uzeeni,...huyu mzee inabidi awe anafanya majumuisho/mahesabu
ya maisha yake,lakini anacho fanya ni kama bado ana miaka 10 hivi
 
Sawa kabisa,mapenzi hayana umri ili mradi roho imeridhika.
 
binmti nae mpuuuzi yaani babu kauchezeea ujana wake na wengine uzee wake anaumalizia kwa binti................huh
 
Mada kesi nyingine zinatafutwa hivi hivi.... Hiki kibabu si kitamfia jamani?
 
Mi nadhani kimestaafu juzi juzi hivyo kinakula pensheni sasa after few days utaniambia kitakavyochoka maana hata kikiwa millionaire kwa spidi hii ....sidhani.
 
mzee anatumia mafao yake alikuwa baharia huyo.ndio muda wake wa kujidai kusahau machungu ya ujana wake.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom