"maisha matamu kuliko.......?

DavidHard

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
435
273
Mfalme mmoja alitoa zoez kwa atakae vuka mto
wenye mamba atamzawadia/atamuozesha
bintie wa kike kabla hajamalizia kutangaza ghafla mmoja
akaingia majini akaogelea fasta hadi akavuka alipo
rudi mfalme akamwambie kjana unastahili kupewa
binti yangu ,yule jamaa akasema kudadadeki sihitaji mke wala nini namtaka kwanza alie
nisukuma...mtoni....nim..,'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom