Maisha magumu ya wakristo yamesababishwa na wakristo wenyewe

Status
Not open for further replies.

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
ameeeeeeeeeeeeeeennnnnnnnnnnnnn maoni yenu yatazingatiwa na tumeombe MUNGU atupe macho ya rohoni tuone mbali kuelekea utimilifu wa MUNGU

Kuna wakati unaweza kuhisi umelogwa umeachwa mungu amekusau la hasha ni ufahamu na akili
kama umekuwa na ufahamu sisi ni wamiliki sisi ni wazao wa ibrahim..ndugu zanguni wakristo wengi
hapa naongelea wafanya biashara wengi wamekuwa awaendi kanisani kumshukuru mungu kutoa dhabihu
kwa mungu na badala yake wanashinda kwenye biashara mpaka jumapili ..sasa basi uwezi kutumikia
mabwana wawili kwa wakati mmoja...kuna kanisa moja dodoma wiki iliopita lilionyeshwa hili lililo
fanya wamechimba kaburi kubwa wakaandika herufi a-z na kuzinenea kama kuna wafanyabiashara wakristo wasioenda
kusali kanisani na kumshukuru mungu basi na biashara zao zikafie mbali zisiwepo kwenye ulimwengu huu
na kama unafanya kazi uendi kanisani basi kazi yako ikafie mbali na hivi ninavyoongea kama na wewe unahusika
kwe hili amka sasa jireekebishe shetan asikukamate ukamwacha mungu wako

kuna shida na matatizo yanawaingia wakristo sio kwamba wamelogwa ama una mapepo la hasha umemwacha mungu
na yeye anasema ukiniacha na mi ntakusahau...mkristo unatakiwa uwe busy na mungu ukitajika mkesha unapatikana
ukiitajika kwenye kujenga kanisa upo
ukawe strong in jesus name maisha yako yakabadilike in jesus name
Ilo kanisa halina mamlaka ya kuwasema wakristo. Jaribu kufikiria kwa makini ili uweze kutofautisha dini na dhehebu. Nina uhakika hukutaka kutaja jina la kanisa hilo la dodoma kwa kuwa ni ni moja ya haya makanisa ya waroho. Usiwahusishe wakristo wote kwa matendo na kauli zilizosemwa na moja ya makanisa ya waroho.

pointless,.mungu yupo popote inaonyesha we mdau wa nyumba za ibada uko after money a.k.a sadaka

Asante kwa taarifa na mawazo yako pia kama mchangiaji wa JF, dini na dhehebu ni vitu viwili tofauti na ukumbuke kuwa dini zetu zimevamiwa na makundi mbali mbali kwa faida yao binafsi ukilielewa hili hupati taabu na yanayotokea IMANI yako yatosha

unajua,wakati mwingine nawaona waganga wa kienyeji ana akili sana! u dont succeed by pulling others down. lutheran church kuna sala ya kuombea sadaka inayosema 'uwabariki na wale walioshindwa kukutolea leo, ili wakati mwingine wapate cha kutoa mbele zako' (nt exact words). if u dont work hard, and pray all day na kutoa sadaka hadi nguo zako u wont succeed! period!

pdiddy,mungu hunyesha mvua yake kwa wema na wabaya. kama mungu angehesabu maovu na muda tunaotumia kusali hakuna ambaye angesimama. na bible inasema 'nataka rehema, wala sio sadaka'. badala ya kuwaombea mungu aseme nao huko waliko unawaombea ubaya! masaa mawili kanisani,52 times a year, out of which nusu yake umevusha na robo umesinzia, is nt what entails all u have be it health, money or fame. ni favor tu ya mungu! hii mimi huita 'holier than thou' attitude! kushinda kanisani kutwa nzima hakukufanyi kuwa mkristo kuliko wengine

Ilo kanisa halina mamlaka ya kuwasema wakristo. Jaribu kufikiria kwa makini ili uweze kutofautisha dini na dhehebu. Nina uhakika hukutaka kutaja jina la kanisa hilo la dodoma kwa kuwa ni ni moja ya haya makanisa ya waroho. Usiwahusishe wakristo wote kwa matendo na kauli zilizosemwa na moja ya makanisa ya waroho.

PDidy hawezi rudi hapa kukujibu. Ndio amesha maliza hivyo na msg sent!

pdiddy,mungu hunyesha mvua yake kwa wema na wabaya. kama mungu angehesabu maovu na muda tunaotumia kusali hakuna ambaye angesimama. na bible inasema 'nataka rehema, wala sio sadaka'. badala ya kuwaombea mungu aseme nao huko waliko unawaombea ubaya! masaa mawili kanisani,52 times a year, out of which nusu yake umevusha na robo umesinzia, is nt what entails all u have be it health, money or fame. ni favor tu ya mungu! hii mimi huita 'holier than thou' attitude! kushinda kanisani kutwa nzima hakukufanyi kuwa mkristo kuliko wengine

Ameeeeeeeen my sisto!

Kwa hili Pdidy sikubaliani na wewe. Hakuna dhehebu liwe la kikristo ama mengineyo lenye mamlaka dhidi ya neno la Kristo na kanisa lake.

Wapi unawezapata nukuu ya kuunga mkono habari zako za kuchimba kaburi na kulaani watu kwa uchawi wa kunuia?

Nani alikuambia kwamba kwenda ibadani j/pili ndio ishara ya kuuona ufalme wa Mungu?

Ni kwa nini nguvu kubwa inatoa kipaumbele cha watu kumtolea Mungu pesa na vitu zaidi ya mioyo safi na minyoofu kwa Mungu?

Hii injili ya utajirisho imepumbaza watu wengi sana na watu wamefikia mahali ambapo dhamira zao zishajifia zamani na hata hawajui. Wamevuviwa roho la mtakavitu kwa kuwango cha kujaa na kusukwa sukwa. Wanakusanya umati mkubwa sana sehemu za miji wakiwaahidia ufalme wa Mungu ambao kimsingi hawatauona wala huo umati walioudanganya.

Tubuni nyote mumrudie Yesu katika kweli ya neno lake, haijalishi una hali gani, ni tajiri ama masikini, ni bwana ama mtumwa, ni mweupe ama mweusi. Cha msingi ni Yesu na yeye pekee katika moyo wa mwamini.

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom