Maisha magumu mpaka natamani ningekuwa mwanamke

F

frings7

Member
Joined
Jul 29, 2014
Messages
11
Points
45
F

frings7

Member
Joined Jul 29, 2014
11 45
Maisha magumu sana haswa ukiwa mwanaume, yani muda mwingine natamani hata ningekuwa mwanamke kidogo ningepata nafuu ya maisha ,hata kujiuza ningejiuza ili mradi mambo yangu yafanikiwe.
Umesomea nini au una fani gani na unatafuta kazi ya aina gani? Unahitaji msaada wa aina gani kimfano chakula, pliz sema upate kusaidika
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
21,222
Points
2,000
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
21,222 2,000
Maisha magumu sana haswa ukiwa mwanaume, yani muda mwingine natamani hata ningekuwa mwanamke kidogo ningepata nafuu ya maisha ,hata kujiuza ningejiuza ili mradi mambo yangu yafanikiwe.
Na pengine ungekua mwanamke napo ungepitia changamoto hadi ukatamani kuwa mbwa ili ufugwe...teh
 
mchana kweupee

mchana kweupee

Senior Member
Joined
Apr 18, 2019
Messages
167
Points
225
mchana kweupee

mchana kweupee

Senior Member
Joined Apr 18, 2019
167 225
mkuu karibu ntakupa chakula, makazi mavazi nahata hospital utaenda bila was wasi nipm nkupe maelkezo
 
Mbwa dume

Mbwa dume

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Messages
2,779
Points
2,000
Mbwa dume

Mbwa dume

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2014
2,779 2,000
Maisha magumu sana haswa ukiwa mwanaume, yani muda mwingine natamani hata ningekuwa mwanamke kidogo ningepata nafuu ya maisha ,hata kujiuza ningejiuza ili mradi mambo yangu yafanikiwe.
Mbona hata sasa unaweza kujiuza tu mkuu?
We nyoa midevu yote kisha njoo Pm nikupe mchongo
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
25,513
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
25,513 2,000
Pole sana...

Hayo yote ni maisha, ipo siku yatakwisha, mjaa leo unahangaika, nawe ipo siku yako itafika...

Hilo la kutamani kua mwanamke, kweli tatizo ni ugumu wa maisha tuu au kuna lingine??

Cc: mahondaw
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
7,062
Points
2,000
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
7,062 2,000
Mkuu epuka huyo Ibilisi anayekusogelea,kwa imani yako jaribu kuomba MUNGU atakusaidia tu,usione watu tunatabasamu hapa jukwaani ila hali mbaya tu
 
Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,419
Top