Maisha magumu jamani, sikuwahi kufikiria watu wana makwao alafu wanakosa chakula

king vana

Member
Apr 9, 2017
91
49
Juzi ndugu yangu alitumiwa hii meseji kwenye simu yake na namba ngeni. Akapiga yule mtu akasema amekosea namba. Lakini kwa kweli iliniuma sana nikamwambie amtumie tu. SIKUWAHI FIKIRIA KWAMBA KUNA WATU WANA MAKWAO ALAFU WANAKOSA CHAKULA KWA KWELI... Mungu ibariki Tanzania
FB_IMG_1509896547104.jpg
 
Juzi ndugu yangu alitumiwa hii meseji kwenye simu yake na namba ngeni. ... Akapiga yule mtu akasema amekosea namba .. Lakini kwa kweli iliniuma sana nikamwambie amtumie tu... SIKUWAHI FIKIRIA KWAMBA KUNAWATU WANA MAKWAO AFU WANAKOSA CHAKULA KWA KWELI... Mungu ibariki Tanzania View attachment 625311
Acha kabisa hivi vyuma sijui vitaachia lini ili tugawane umaskini.
The same, leo jamaa yangu amenitumia meseji hana hata shilingi ya nauli na kula, yaani usione watu tupo kimya, mmh.
 
Acha kabisa hivi vyuma sijui vitaachia lini ili tugawane umaskini.
The same, leo jamaa yangu amenitumia meseji hana hata shilingi ya nauli na kula, yaani usione watu tupo kimya, mmh.
Daaah!!! Acha tu...... Tusipo shituka TUTAUMIA WENGI WENYE UWEZO WA KATI
 
Kuna mtu nimekutana nae Mwenge mara nyingi siku za nyuma(wakati huo kituo cha Makumbusho kipo Mwenge), kila nikutana nae ana uongo wa kukariri kuwa aliitwa site kazi lakini akakwama hivyo amepungukiwa nauli etc etc. Yawezekana text ikiwa ya kweli ana tatizo hilo pia yawezekana ni kama rafiki yangu wa Mwenge, anaituma kwa watu wengi, atakaowapata ndio hivyo tena.
 
Hata mim nilifikiria hilo lakini mpaka mtu kafkia kufukiria huko kwa kweli hali ni mbaya kweli kwahiyo anatafuta namna hata mkono uende kinywani kwa kweli ... Imeniuma sana
 
Wanaolia ugumu wa maisha ni wale waliokuwa wamezoea kupiga hela za serikali. Kufeni tu na njaa ikifika 2020 walionusrulika watakuwa wamekomboleka kifikra.
 
Juzi ndugu yangu alitumiwa hii meseji kwenye simu yake na namba ngeni. Akapiga yule mtu akasema amekosea namba. Lakini kwa kweli iliniuma sana nikamwambie amtumie tu. SIKUWAHI FIKIRIA KWAMBA KUNA WATU WANA MAKWAO ALAFU WANAKOSA CHAKULA KWA KWELI... Mungu ibariki Tanzania View attachment 625311

Matapeli hao. Hio message imekuwa huku Kenya for over 2 years now. Mara tunakufa njaa, mara mtoto kang'atwa na nyoka bla bla.
 
Watu munabwabwaja utazani mwakaa huu ndo wakwanza kulia njaa. Hamjawahi kuona njaa nyinyi. Meseji moja tu munalialia.. Mtumieni buku tano huyo na mjadala ufungwe.
 
Back
Top Bottom