Tetesi: MAISHA KAMA GWARIDE...HUU NDIO UKWELI

DissDotCom

JF-Expert Member
Mar 31, 2014
395
268
01.πŸ‘‰ Wale wanafunzi walioongoza
Mashuleni, wanaenda kwenye
Engineering na Medical school.

02.πŸ‘‰ Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa
wanafunzi walioshika nafasi ya kwanza.

03.πŸ‘‰ Wale waliokuwa wa tatu, wanageukia
Siasa na kuwaongoza wote hapo juu.
Yaani wa kwanza na wa pili.

04.πŸ‘‰ Wale waliofeli, wanaenda Jeshi, hawa wakigoma, basi hao wa juu
wote hawana raha.

05.πŸ‘‰ Wale waliopata Zero na waliokataa
shule wanakuwa waganga wa kienyeji,
wote hapo juu watamtafuta huyu, pale
mambo yao yanapokwenda kombo. Tuache kudharauliana, kila mtu ni boss akiwa kwenye nafasi yake.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‰πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Habari Kubwa Sana Kwasasa Ni
Paul Makonda
Mwamposa
Pompeo
Kesho Asubuhi Kiapo Ikulu
 
01. Wale wanafunzi walioongoza
Mashuleni, wanaenda kwenye
Engineering na Medical school.

02. Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa
wanafunzi walioshika nafasi ya kwanza.

03. Wale waliokuwa wa tatu, wanageukia
Siasa na kuwaongoza wote hapo juu.
Yaani wa kwanza na wa pili.

04. Wale waliofeli, wanaenda Jeshi, hawa wakigoma, basi hao wa juu
wote hawana raha.

05. Wale waliopata Zero na waliokataa
shule wanakuwa waganga wa kienyeji,
wote hapo juu watamtafuta huyu, pale
mambo yao yanapokwenda kombo. Tuache kudharauliana, kila mtu ni boss akiwa kwenye nafasi yake.
Nipo namba 5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na ambao hatujasoma kabisa, tumejipaka vumbi la mcongo ili kuwafikisha kibo wake wa hao no. 1 hadi 5
 
Back
Top Bottom