Maisha jijini Kigali, Rwanda yapoje?

Hakuna vijiwe vya kahawa,
Maduka ya mangi na wapemba utayatafuta kwa tochi.
Nidhamu na Usafi ni jambo la muhimu zaidi.
Kagame hadhihakiwi mbele ya mnyarwanda.
Lugha yenye kuongewa zaidi ni kinyarwanda na kifaransa kwa hiyo kiswahili na kiingereza ni kwa wachache mno haswa Nyamirambo.
Demu mweupe ni dili zaidi huko.
Pesa yao wastani wake ni ukizidisha na 2.5 ndio wapata tsh. Na bora ubadili Rusumo kuliko kigali town watakupa rate ndogo.
Kuhusu usalama ni mkubwa mnooo hakuna vishandu wala vibaka .
Mengine labda uulize tukusaidie.
K
 
Kuna gesti za shot time?
 
Back
Top Bottom