Maisha hayako fair, kuna muda unakutana na mwanamke ana sifa zote unazotaka lakini Single Mother

Attachments

  • IMG_0266.png
    IMG_0266.png
    98.6 KB · Views: 3
Hawa viumbe hawajadiliki kabisa. Ukiamua kufanya maamuzi fanya, ili mradi maamuzi yako yawe chanzo cha furaha na siyo majuto na huzuni.
 
Kwa hiyo humu nyie wanaume wanawake wote mlowazalisha mmewaoa?
Nadhani ni bora waliozalishwa wawaue walowakataa ili akiulizwa aseme ashakufa! Binadamu tupo wa ajabu, tunapenda kula K bila ndomu na tukizalisha tunawaacha halafu sie tunataka single mother ambaye aliyemzalisha hayupo hai! Ajabu hii
 
Nadhani ni bora waliozalishwa wawaue walowakataa ili akiulizwa aseme ashakufa! Binadamu tupo wa ajabu, tunapenda kula K bila ndomu na tukizalisha tunawaacha halafu sie tunataka single mother ambaye aliyemzalisha hayupo hai! Ajabu hii
😂😂😂 wanaume wakatili sana
 
Kwani single mother siyo binadamu? Mbona sisi tunawavumilia ma single father na drama za baby mama ...

Ila nyie wanaume pyuuu
 
Nna rafiki yangu yeye ana kisa kinachofanana na chako. Akajiroga akajitosa mzima mzima. Aise mpaka nilimuhurumia.

Alikutana na huyu single maza, kwa kweli alikuwa na bonge shepu matata ile nane iliyojichora na kakiuno kaduchu na mzigo kama wote.

Shemeji mimi nilivyoombwa ushauri nikatoa go ahead, "Kama hujaona kasoro zake na unampenda, tengenezeni maisha pamoja."

Daa...! Kilichokuja kutokea sasa. Yule manzi alitulia tuli karibu mwaka baada ya wao kuwa pamoja (walimove-in pamoja bila ndoa lakini) na walifanikiwa kupata na mtoto.

Baada ya hapo sasa, sijui ndio kuchokana, manzi akaanza kushea tunda na Ex-baba mtoto wake. Mshikaji alipogundua alipiga sana kelele manzi ajirekebishe lakini ndio kwanza kama alimuongezea petroli. Dharau zikazidi mpka mshikaji anapiga simu mbele yangu manzi aje tuyasuluishe anajibiwa mbovu (loudspeaker) hadi huruma.

Fast things forward, walikuja kuachana kila mmoja anaendelea na maisha yake kwa sasa. Manzi alikimbia na mtoto akaenda kukaa kusikojulikana akawapiga biti ndugu zake wasimwambie mshikaji anapoishi ila jamaa hana hiyana anaendelea kutoa matunzo ya mtoto wake.

Hapo nikapata funzo kwa jinsi jamaa alivyopitia hilo life, siwezi mshauri mtu ajiingize huko labda ujiweke sawa kisaikojojia au baba mtoto awe hayupo hai.

NB: Si single maza wote wabaya, unaweza ukabahatika ukapata kinachofaa pia.
 
Kaka [mention]gwankaja [/mention] kuna wakati nahisi kama unanisema mimi

Nipo kwewakati mgumu sana
Kunawakati hadi naona bora niishi tu mwelabda
Sielew hata naanzia wap
Yaan kifupi unakua njiapanda
 
Ndiyo maana wanasema kila chochote hakikosi kasoro/mapungufu mkuu, muhimu angalia kama hiyo kasoro/pungufu unaweza kulivumilia endelea. Kuwa single maza haimaanishi huyo dada hajitambui/mhuni basi tu mambo yalitokea enzi za ujana. Anaweza kuwa wife material tu

Financial bora ata unyamaze mama angu.
 
Nna rafiki yangu yeye ana kisa kinachofanana na chako. Akajiroga akajitosa mzima mzima. Aise mpaka nilimuhurumia.

Alikutana na huyu single maza, kwa kweli alikuwa na bonge shepu matata ile nane iliyojichora na kakiuno kaduchu na mzigo kama wote.
Nakuhakikishia hata angemuowa bikra huyo demu bado angemegwa na watu wengine, ni vile huyo aliyezaa naye tu ni simple option.

Mimi namiliki guest house, naona wake za watu wanavyoliwa working house ba hadi mwezi mtukufu wakati wa mfungo na mashungi yao.

Niko mbioni kuuza hili jengo naona wazi kabisa hii ni pesa haramu kama ya kuiza unga tu na ni chukizo kwa Mungu.

Mnawakosea sana kuwasimanga hao single mother wakati hao watu wenu wanafirika deile wakati usikute wewe hajawahi kukupa tigo ila masela wanabinuwa deile bila KY kwa mate tu.
 
Jiulize ina maana huyo baba mtoto hakuona hizo sifa nzuri mpaka akaingia mitini? Shtuka bro unaigiziwa! Hakuna mwanaume anayeweza kumuacha mwanamke wife material tena mwenye mtoto wake! Huyo ni mali ya Kizega SACCOS
Mkuu umenifunza kitu kikubwa leo, ngoja niagize heineken kadhaa kujipongeza.
 
Back
Top Bottom