Farolito JF-Expert Member Sep 10, 2018 11,634 26,372 Sep 20, 2020 #1 Tukiweza tuwakumbuke na wengine kama hawa
Keagan Paul JF-Expert Member Jul 19, 2018 500 3,057 Sep 20, 2020 #4 Usione watu hapa mjini wana pesa ukajua za halali, ukifatilia utajiri wao utakimbia mwenyewe
Farolito JF-Expert Member Sep 10, 2018 11,634 26,372 Sep 20, 2020 Thread starter #5 google helper said: Hapo panafikirishaa Click to expand... Panafikirisha sana
Farolito JF-Expert Member Sep 10, 2018 11,634 26,372 Sep 20, 2020 Thread starter #7 Mnyenz said: Raha jipe mwenyewe. Click to expand... Hakuna namna
Farolito JF-Expert Member Sep 10, 2018 11,634 26,372 Sep 20, 2020 Thread starter #8 Keagan Paul said: Usione watu hapa mjini wana pesa ukajua za halali, ukifatilia utajiri wao utakimbia mwenyewe Click to expand... Ni kweli
Keagan Paul said: Usione watu hapa mjini wana pesa ukajua za halali, ukifatilia utajiri wao utakimbia mwenyewe Click to expand... Ni kweli
Fall Army Worm JF-Expert Member Jan 8, 2015 19,331 14,259 Sep 21, 2020 #10 Keagan Paul said: Usione watu hapa mjini wana pesa ukajua za halali, ukifatilia utajiri wao utakimbia mwenyewe Click to expand... Yaani mkuu,umesema kweli muhimu ni kuridhika na kile ambacho Mungu anakujalia na kufanya kazi kwa juhudi na maarifa.
Keagan Paul said: Usione watu hapa mjini wana pesa ukajua za halali, ukifatilia utajiri wao utakimbia mwenyewe Click to expand... Yaani mkuu,umesema kweli muhimu ni kuridhika na kile ambacho Mungu anakujalia na kufanya kazi kwa juhudi na maarifa.
Farolito JF-Expert Member Sep 10, 2018 11,634 26,372 Sep 21, 2020 Thread starter #11 rolla said: Huyo jamaa amefikiri mbali hatari Click to expand... Maisha mkuu