Maisha haya! Kuna muda watu wanajisahau

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Kwenye picha ukimuangalia Bashiru na enzi za Hayati JPM.
Kweli maisha ni gwaride

IMG_4507.jpg
 
Nina hakika hata kama hakuwahi kuamini uchawi, leo hii Bashiru anaamini moja kwa moja karogwa. Huyu ni mtu ambae alipanda kwa kasi ya ajabu na kushuka kwa mara mbili ya kasi aliyopandia.

Bashiru ni mfano hai wa usemi 'mipango si matumizi'. Plan alizokuwa nazo huyu mzee za miaka 10 Ijayo kuna kipindi alihisi kabisa zishatimia zikingoja muda tu, kusahau kuwa juu yetu sote kuna Muumba mpanga yote.

Hata kama alifanikiwa kuchukua mali, kisaikolojia hatokuja akae sawa tena.
 
kwenye picha ukimuangalia bashiru na enzi za marehemu Jpm.
kweli maisha ni gwalideView attachment 2110094
Haamini mambo yanayoendelea anahisi Kama yupo ndotoni, wanasema ukipanda kwa speed sana ufahamu kuwa utashuka kwa speed hiyohiyo.

Huyu alikuwa na akili alipokuwa CUF Ila aliohamia CCM akavaa akili za Magufuli na ndio maana wamemuweka kando mapema sana.

Alifika sehemu akaanza kutishia hadi aliowakuta kwenye chama, wakabaki wanamuangalia tu anavyodemka.

Ni funzo kubwa sana kwetu vijana
 
Bashiru aliwahi hafi kumsema J.K hadharani, nawaonea huruma sana hawa kwasababu J.K huwa hasameheagi..
Wakati wakiwa kwenye mchakato wa kumtafuta makamu wa rais baada ya mama kuapishwa mkwere alimaindi na kumfukuza kwenye kikao cha chama Bashir. Mkwere alisikika akisema na huyu jamaa anafanya nini humu ondoka.

Kigogo2014
 
Back
Top Bottom