Hilo chimbo bado lipo? Nakumbuka enzi zile ile barabara ilikuwa inaitwa church strPretoria kuna chimbo kama hilo la CHEECY linaitwa CAPITAL INN
Mkuu, hao madogo ni watu wa tofauti sana kulinganisha na sisi wabongo wengi. Unaweza kusema hao madogo wanaitendea haki dunia hii ya kiteknolojia ukilinganisha na mimi na wewe.Wakuu hao madogo mnawajulia wapi inaonekana wana insipire saana
Hahahahaa mkuu ulivyomalizia ni hatari.Mkuu, hao madogo ni watu wa tofauti sana kulinganisha na sisi wabongo wengi. Unaweza kusema hao madogo wanaitendea haki dunia hii ya kiteknolojia ukilinganisha na mimi na wewe.
Wana mobile apps zao,wana machapisho yao online ambayo unayapata kwa kununua, na ukiwataka wapo hata linkedlin. Semina zao wanafanyia mpaka humburg.
Halafu pia ukiingia insta usiishie kuwa follow wakina shilole na mange kimambi tu.
Mkuu, hao wote tuliowaongelea wako insta. Ukienda kwenye page zao unakutana na websites ambazo zina taarifa za wanayoyafanya. Na ndio maana nikasema kama uko insta usiishie kuangalia picha za akina gigy money tu....hahahaHahahahaa mkuu ulivyomalizia ni hatari.
How sure are you kwamba Niko insta??? Ngoja na Mimi nianze kuwafuatulia maana Mimi nataka nianze kujifunza kuhusu forex
Kuna jamaa yangu alienda kusoma chuo huko Guanghzou yupo huko anaachoma chipsDah mkuu hassle zako UA nazielewa najifunza Vitu Vingi,..hongera San mkuu,..but nasikia Guangzhou na London wabongo wanapata tabu sana
Mkubwa nitakuja Kiseryewa najikusanya kidogo nitakuchekiThe more city inavyozidi kuwa modern ndio the more social and economic evil zinaongezeka.
Wale bushmen akina Xi wana maisha mazuri saana kule kijijini kwao kuliko wanaoishi hapo downtown kwa madiba.
Thank God! Sijawahi kuwaza kwenda south, napiga hela nyeupe za bila jasho kwa wakulima wa Maharage hapa karagwe.
Easy money!
shida sio kulima..lakini ukiwa nyumabni kwako hata kama life ngumu sio mbaya tofauti na ukiwa ugenini....bora kulima sasa...kuuz karanga na vishetiKama wananisoma hapa naomba warudi tuje tulime huku maeneo yapo mengi tu.
Kuna jamaa yangu alienda kusoma chuo huko Guanghzou yupo huko anaachoma chips
Yani jamaa kuchoma chops ni stress?