Maisha, Familia, Mapenzi Na Utajiri Wa "Rick Ross" | HipHop hailipi Bongo tu..

Mwaka 2012 Rick ross alikuja bongo lakini kuna mshamba fulani anatubishia eti tumemjua kupitia Diamond 2017!!..
Anasahau hata nickname ya Wema Sepetu Beautiful Onyinye ilitokana na nyimbo ya Psquare feat Rick Ross miaka hiyo..
 
Wewe mtoa mada Dar mgeni nini maana unaonyesha chembechembe zote za Kolomije
 
Rick Ross unayesema Watanzania tumemjua baada ya kufanya Ngoma na Naseeb Abdul ni yupi?

Ndio yule yule wa 9 Piece, Push it, Aston Martin, Sorry, So sophisticated?
Au kuna Rick Ross mwingine?
 
Rick Ross unayesema Watanzania tumemjua baada ya kufanya Ngoma na Naseeb Abdul ni yupi?

Ndio yule yule wa 9 Piece, Push it, Aston Martin, Sorry, So sophisticated?
Au kuna Rick Ross mwingine?
King kiba..
 
Mleta mada si Mtanzania apuuzwe tu. Hawezi kusema wengi wamemjua Rick Ross baada ya kutoa ngoma na Diamond platnumz
Ina maana ameona watanzania wengi ni washamba kama yeye?
 
Labda wewe mzee mim namjua Ross tangu miaka ya 1998 namfuatilia kitambo sana huyu jamaa

Yessir!

Kama sikosei awali awali kati ya 97 au 98 alishirikishwa kwenye ngoma moja ya Trick Daddy. Nami ndipo nilipomsikia kwa mara ya kwanza.
 
Back
Top Bottom