Maisha, Familia, Mapenzi Na Utajiri Wa "Rick Ross" | HipHop hailipi Bongo tu..

Traveller X

JF-Expert Member
May 2, 2017
271
500
Rapper kutoka majuu anaekwenda kwa jina la rick ross ambae naamini watu wengi wamemjua baada ya kushirikishwa kwenye ngoma ya Diamond "waka Waka" anathibitisha ule msemo wa hip hop hailipi bongo tu ila huko kwa wenzetu ukiwa mwana hip hop basi kua tajiri ni kitu cha kawaida sana,

Rick ross mwenye miaka takriban 41 sasa ni moja kati ya rappers wenye mpunga mrefu tu kuliko hata boss wako, kwa ripoti za mwaka huu rick ross ana utajiri upatao $42 Millioni sawa na kama Billion 90+ kama sikosei,

Pia rick ross kama ilivyo kwa alikiba , bado hajaoa lakini ana watoto wa 3 mpaka sasa,

Napenda wasanii wa hip hop bongo wakaze tu naamini na sisi sikumoja tutaona wana hip hop wetu wakiendesha ma ferarri na marcedes ya pesa chafu kupitia huo huo mziki wa hip hop,

Ni hayo tu kwa leo

"Waka Waka"
 
kamikaze

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
303

Hili bandiko lako linaonesha dhahiri humjui Rick Ross, Ndio kwanza unaanza kumfahamu, hebu kula kwanza hizi track mbili za mtu mzima Rozay
 
MAPOUDA

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
426
500
Rapper kutoka majuu anaekwenda kwa jina la rick ross ambae naamini watu wengi wamemjua baada ya kushirikishwa kwenye ngoma ya Diamond "waka Waka" anathibitisha ule msemo wa hip hop hailipi bongo tu ila huko kwa wenzetu ukiwa mwana hip hop basi kua tajiri ni kitu cha kawaida sana,

Rick ross mwenye miaka takriban 41 sasa ni moja kati ya rappers wenye mpunga mrefu tu kuliko hata boss wako, kwa ripoti za mwaka huu rick ross ana utajiri upatao $42 Millioni sawa na kama Billion 90+ kama sikosei,

Pia rick ross kama ilivyo kwa alikiba , bado hajaoa lakini ana watoto wa 3 mpaka sasa,

Napenda wasanii wa hip hop bongo wakaze tu naamini na sisi sikumoja tutaona wana hip hop wetu wakiendesha ma ferarri na marcedes ya pesa chafu kupitia huo huo mziki wa hip hop,

Ni hayo tu kwa leo

"Waka Waka"
Labda wewe mzee mim namjua Ross tangu miaka ya 1998 namfuatilia kitambo sana huyu jamaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom