Maisha chini ya chama kimoja cha siasa yapoje?

Kabisa mkuu

This is a big problem...

Beberu ni yule yule wamebadili address tu..

Heri hata beberu wa Ulaya ana demokrasia na rule of law...China hakuna hicho...serikali haikupendi unakatwa kichwa hakuna hata cha kwenda mahakamani!

Naona shimo kubwa sana mbele yetu!
Kwasababu hatuna wa kuyapigania matokeo, basi tujiandae kuendelea kuumia.
 
TUlisema utakuwa uchaguzi wa mpenda haki na mpenda Dhuruma.

Dhuruma imeishinda haki.
Tusubiri mapigo ya Mwenye Haki Mtenda Haki ambaye hapunji na yuko nyuma ya waliodhulumiwa.
Masika yaja... tutubu, tufunge pia tuombe sana na kulia sana... mapigo yake maulana hayataepukika... dhulma... dhulma...
 
Wala sio hivyo....tuna lunatic white house...he has all the weapons....ataua watu wote hapa,even if tukimtoa...

I dont think vifo vya Watanzania 1000 au 2000 viwe equal na kifo kimoja cha Magufuli,thats nonsense!

Magufuli atapatiwa solution tu bila kuua watu wote hapo!

No need for that!
Solution gani sasa, sioni Solution yoyote.
Ningekuwa mchawi ningejaribu kujitosa.
 
Wakuu habari za muda huu!

Tukiwa tunapokea matokeo kutoka sehemu mbalimbali ya Tanzania, ikionyesha CCM inashinda kila mahali kwa kura nyingi sana.

Mimi ni kijana nilizaliwa(1995) nilikuta mfumo wa vyama vingi vya siasa, katika somo ya Civics nimesoma kitu kimoja kinaitwa check and balance. Natafakari hapa maisha ya chama kimoja yatakuwaje.

Sina hakika kama kutakuwa na mbunge wa CCM anaweza kuikosoa serikali yake kwa utawala huu.

Ubeze usibeze upinzani una umuhimu wake katika kujenga taifa hasa katika kuibua maovu yanayofanywa na serilikali.

Naombeni mloishi miaka ya nyuma kidogo maisha ya chama kimoja yapoje nijiandae kuyapokea.
Jiandae kisaikologia. Hii itakuwa mbaya kuliko ya Nyerere kwani wakati huo pamoja na mfumo rasmi wa chama kimoja kulikuwa na ukosoaji. Wabunge walikuwa huru kuongea. Ndiyo maana unasikia kulikuwa na G55 wabunge waliosimana kutaka serikali ya Zanzibar. Kwa sasa hilo halitawezekana. Kumbuka wabunge wa kusini walivyozimwa kwa vitisho juu ya suala la korosho!
 
Na J2 hii mtaniona kanisani nikiwa nimepiga magoti tena kwa unyenyekevu mkuu nikisema Mniombeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
................Haha hakika kama Mungu angesema kwa baadhi ya cases amuhukumu mtendaji on the spot huyu mara hii asingechomoka!
 
Plan zote zikishindikana tuanze kumsifia
Tukiwa na plan B kwenye target
 
Mamaee
Nchi imeoza rasmi
R.I.P Private sector
Tusubirie vichaa kuongezeka kuanzia magogoni mpaka shinani .
Bora Yesu arudi tu kipindi ichi
 
Ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindono kuliko mwana CCM yoyote kuuona ufalme wa Mungu.
 
Mstari Ni moja; tutanyoshwa wote mpk citizen 1 Naye atanyooka mwishoni; then we will have new country!
 
Nitajie maadui watatu wa taifa la Tanzania.

1.
2.
3.
1.Chadema
2.Chadema
3.Chadema

Watu gani kazi kupinga MAENDELEO.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Ipo mzee..hakuna haja ya kuitaja hapa...

Na kuloga kupo...muulize yule mzee wa Mchinga alipo mletea ushenzi Zitto mkono wake ulikatikia wapi...Muulize tu!

Mi sidhani kuna mtu atamaliza miaka mitano ijayo!

Kipindi ya chama kimoja Nyerere kila siku alikua anapambambana na mapinduzi,yanarudi sasa hivi maana nchi ni ya chama kimoja!
Hizi ni theory tu, nataka solution ya haraka.
 
1.Chadema
2.Chadema
3.Chadema

Watu gani kazi kupinga MAENDELEO.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Ndio maana tunasema elimi elimu elimu. Unashindwa swali dogo kama hili. Endelea na utumbavu wako.
 
Hamna cha ajabu. Watu walewale wa vyama vingi ndio wa chama kimoja.
Hutaona tofauti ya maana.
Wanasiasa huwa ni walewale.
 
Wana-CCM bwaaana... Akili zenu wote kama za Magufuli.

1603979683389.png

Walioaribu ni wapinzani wenyewe kwenye mambo mengi sana,mfano:.
a) kupinga na kubeza kila jambo zuri la mandeleo.
b)Covid-19 ni pigo moja baya sana kwa wapinzani kubeza msimamo wa JPM.

c)kuonyesha dhahiri kwamba wao wanawategemea zaidi watu kutoka nje kuliko watanzania,yani jambo dogo tu eti "Armstadam kasema" mara "Armstadam kamuandikia barua Rais Magufuli"

Sasa kwa hali iyo ni bora watanzania tuongozwe na chama cha CCM mpaka utakapo patikana upinzani wenye vyama vyenye kujielewa vitakavyo shiriki kwa dhati kwenye kuijenga nchi na si kususasusa Bungeni na kubeza kila jambo la maendeleo.
 
Maisha ya chama kimoja yalikuwa matamu Sana,ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI...NDIO ILIKUWA KAULI MBIU YETU..HATUKUA NA MUDA WA KUFIKIRI,MWENYEKITI ALIFIKIRI KILA KITU KWA NIABA YETU..
 
Wakuu habari za muda huu!

Tukiwa tunapokea matokeo kutoka sehemu mbalimbali ya Tanzania, ikionyesha CCM inashinda kila mahali kwa kura nyingi sana.

Mimi ni kijana nilizaliwa(1995) nilikuta mfumo wa vyama vingi vya siasa, katika somo ya Civics nimesoma kitu kimoja kinaitwa check and balance. Natafakari hapa maisha ya chama kimoja yatakuwaje.

Sina hakika kama kutakuwa na mbunge wa CCM anaweza kuikosoa serikali yake kwa utawala huu.

Ubeze usibeze upinzani una umuhimu wake katika kujenga taifa hasa katika kuibua maovu yanayofanywa na serilikali.

Naombeni mloishi miaka ya nyuma kidogo maisha ya chama kimoja yapoje nijiandae kuyapokea.
Endelea kusoma
Achana na siasa za Afrika
 
Tanzania imeingia kwenye mfumo wa kidikteta tangu 2015. Huyu mtawala wa sasa hata afanye nini hatopata heshima yangu.
 
Back
Top Bottom