Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,189
- 39,954
Maisha bhana, ukiwa mdogo raha sana kwa sababu unakuwa unaletewa kila kitu, ila ukiwa mkubwa sasa inabidi wewe utafute ndio uwaletee watoto na kujikimu mwenyewe.
Inafikia kipindi mambo yote yamegoma, unakopa huku na kule na kujaribu kupiga mizinga iwe kwa mwanamke au mwanaume ili tu watoto na wewe pia upate mahitaji yako ya lazima.
Kipindi hiki ndipo dada/wake zetu hutongozeka kiulaini, wanaume kuwa vibaka, kukata tamaa ya kuishi n.k
Je, ulishakutana na hiyo hali?