maisha bora yatakavyokuwa 2015

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
520
Ndugu zangu kwa jinsi hali ilivyo na usanii unaoendelea kufanywa na serikali yetu. Maisha yatakuwa magumu magumu magumu ambapo kwanza kutachapishwa noti mpya ya Tsh 50000 kufikia mwaka 2015 sukari itakuwa kilo sh 4000 petrol lita sh 5000 mafuta ya taa sh 4800 maharage kilo 3500 umeme unit itauzwa sh 1000 soda 2000 bia sh 3500 nauli ya bus tegeta kariakoo sh 3000 mwenge posta sh 2000 hivi ni kwa uchache ila mabaya yataikumba tz kwa maisha kuwa magumu vibaka wataongezeka hali itakayopelekea watu kuweka kuvaa makaptura ya kuhifadhia feha simu na vitu vya thamani!!!
 
Serikali itawekeza zaidi kwenye jeshi kulinda isipinduliwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom