Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania?!

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
51,719
107,770
andika.jpg

A Standard V pupil of Kipawa Primary School, Omar Ramadhan (12) writing in his exercise book at home in Chanika Mgeule on the outskirts of Dar es Salaam as captured by our roving photographer yesterday. Ramadhan has failed to attend school regularly after his parents were shifted from Kipawa to pave the way for the expansion of Julius Nyerere International Airport.
 
sasa hayo huoni kama ni maendeleo????????????? rejea ni upanuzi wa uwanja wa ndege kama ulivyosema................ upanuzi wa uwanja wa ndege si maendeleo??????????? si hatua ya kuleta mausha bora kwa kila mtanzania????????????

kama kweli wewe ni mbeba box lazima umeishaoa viwanja vya ndege vya wenzetu................. usiwe mnafiki, uwanja wa JKN unahitaji upanuzi tena wa haraka.....................

unachokiangalia kwa huyo mtoto ni incidentials za hatua iliyochukuliwa ya kuhamisha wakazi.................... huwezi kufanya zezi kubwa kama hilo bila kunote matatiza ya hapa na pale................. serikali italaumiwa kama haitatua suala hilo kwa wakati muafaka bila kuathiri maendeleo ya shule ya watoto wa kipawa............... aotherwise sioni sababu ya kukejeli wala kulaumu serikali............... naunga mkono serkali mia kwa mia kwa hatua hiii...............

wengine utafikiri ni watani wa jadi wa serkali na mna hobby ya kulaumu serkali, hata ingefanya nini mtalaumu tu........................ nawasilisha................
 
Is there any body in the government who knows what is going on in this country?

This is one case? How many more children are now out of school bcoz of this?
How many akna mama can't atend clinic regulaly bcoz ther are no clinics in thenew area?
 
zote hizo ni changamoto tu za zoezi, lakini zoezi bado ni zuri na linaendeshwa avizuri..................... usitegemee kupata maendeleo ya uhakika kwa maneno mengi kila unapofikia utekelezaji wa kitu.......................... muhimu kuzikabili hizo changamoto na kuepusha madhara ya kijamii na kimazingira................
 
sasa hayo huoni kama ni maendeleo????????????? rejea ni upanuzi wa uwanja wa ndege kama ulivyosema................ upanuzi wa uwanja wa ndege si maendeleo??????????? si hatua ya kuleta mausha bora kwa kila mtanzania????????????
so what?maendeleo yanahalalisha uhamishe watu hovyo bila mpangilio,i bet ungekuwa baba wa huyu mtoto usingesifia hayo maendeleo.

kama kweli wewe ni mbeba box lazima umeishaoa viwanja vya ndege vya wenzetu................. usiwe mnafiki, uwanja wa JKN unahitaji upanuzi tena wa haraka.............

nimeona viwanja vingi vikipanuliwa bila watu kukosa shule au watoto kulala nje.

unachokiangalia kwa huyo mtoto ni incidentials za hatua iliyochukuliwa ya kuhamisha wakazi.................... huwezi kufanya zezi kubwa kama hilo bila kunote matatiza ya hapa na pale................. serikali italaumiwa kama haitatua suala hilo kwa wakati muafaka bila kuathiri maendeleo ya shule ya watoto wa kipawa............... aotherwise sioni sababu ya kukejeli wala kulaumu serikali............... naunga mkono serkali mia kwa mia kwa hatua hiii...............

yaani mpaka hapo huoni kama washaathiri maendeleo ya shule ya hao watoto?sio hao tu kuna waathirika wengi.

wengine utafikiri ni watani wa jadi wa serkali na mna hobby ya kulaumu serkali, hata ingefanya nini mtalaumu tu........................ nawasilisha................

maisha bora kwa kila mtanzania.
 
na waliojenga maghorofa hovyo hovyo nao sasa hivi watalipwa fidia hili barabara zake za"flyover" zianze kujengwa msiwe na wasi wasi.
 
na waliojenga maghorofa hovyo hovyo nao sasa hivi watalipwa fidia hili barabara zake za"flyover" zianze kujengwa msiwe na wasi wasi.

hawa wa magorofa watalipwa mara kumi ya thamani halisi ya nyumba zao,ila wale wa kipawa 1/4 ya thamani ya nyumba zao.
 
Kwa mtazamo wangu, kwanza zingejengwa shule, hospitali na makazi katka sehemu wanayohamishiwa kabla ya kuwabomolea makazi yao.
 
Tatizo kubwa ni kwamba inabidi kwanza tujua ni nini maana ya Mtanzania, Mtanzania ni akina nani? Pia tutofautisha kati ya Mtanzania na Raiya wa Tanzania. Inawezekana Watanzania wamepata maisha bora tatizo ni Raiya wa Tanzania wanazidi kutaabia.
Pia watu waliahidiwa kua Watatoa Ajira 1,000,000. Kimahesabu maana ya kutoa ni kupunguza, sasa waliokimbia hesabu shule wkadhani kutoa ajira ni kuongeza ajira. Tangu lini toa ikawa sawa na jumlisha?
 
tehe tehe tehe
watz bwana, walivyoambia "nitatoa ajira", wao wakaelemwa "nitajumlisha ajira"
hahahaha
imekula kwenu!!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom