Elections 2010 MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA ona kasulu 21 sept 2010

matawi

JF-Expert Member
Mar 29, 2010
2,052
242
Jamani mwezi septemba nilipita maeneo ya kasulu na kukuta watoto wadogo sana wamebeba kuni bila shaka walikuwa wanaenda sokoni ili angalao waweze kupata mlo.Tunahitaji kutafakari hali hii
kasulu1.jpg
 
Si Kasulu tu ndugu yangu, ndio hali halisi ya majority in this country; nchi ambayo wachache wanafaidika at the expense of many!!!! Kwa sisi tunaotoka huko vijijini tunafahamu fika hali kama hiyo na tumeipitia tukiwa watoto; kwani kuni tu? Maisha magumu kwa kila Mtanzania kasoro mafisadi
 
But CCM told me they were addressing the key problems facing Tanzanians.

They wouldn't lie to me, would they :( ?
 
Mama weeeeee. Na hizo baisikeli? Utawalinganisha hao na wale watoto wa Masaki wanaokula tuition kila siku na kupata Piza na burgers?
 
km sio maisha bora mbona kapata 61% ya kura zote?.............kwa hiyo unataka kumaanisha kuwa aliiba kura?..............basi huu ndiyo ukweli kwamba kama watz wanamaisha ya namna hii na bado kikwete amepata 671% basi kura ziliibiwa kwa kiasi kikubwa sana na wewe wazungumzia kasulu tu....tembea uone watu wamechok.....kikwete akishapata kura sehemu zingine huwa hata haendi kuwapa shikrani badala yake anaandaa safu ya kuwakandamiza watz na baadhi ya makundi ya kijamii hasa ya kidini kwa kukandamiza dini moja na kupendelea dini nyingine..............kikwete hasna nia yopyote ya kuwakomboa watz na ndiyo maana anapoulizwa na wafadhiri kuwa kwa nini tz ni masikini anasema hajui................hii aibu kubwa na ni dharau kwa wafadhiri kumchagua/kutangazwa mshindi mtu ambaye hajui suluhisho la m,atatiozo ya nchi yake..............watz tutaendelea kuaibika zaidi kwa kikwete kuendelea kuwa rais.....ANACHOFANYA SASA NI KUPANMGA SAFARI ZA KWENDA KUNYWA CHAI MAREKANI NA KUNDI KUBWA LA WATU WAKIWEMO VIMADA WAKE..................NCHI IMETEKWA NA FISADI MWENYE TABASAMU AMBAYE WANAWAKE WANACHEKA TU AKIONEKANA.....MTU NDUMILA KUWILI KIKWETE....ANAYEHUSUDU UCHAWI NA ASIYEKUWA NA MSIMAMO.....MWENYE UWEZO MKUBWA WA KUWAGAWA WATZ BADALA YA KUWAUNGANMISHA
 
Hasira kaka acha tu, mie natamani mitz tuamue moja kumtoa huyu fisadi wa nchi yetu, Kibaka wa mali zetu, Mwizi wa rasilimali zetu, kaka mie nimezaliwa bush najua what people are surfering from, nimekula mboga moja tena ya kukaushwa kaka acha tu, lkn still CCM huko kijijini kwangu wanaipenda acha tu, nilijaribu last year wakati wa kampeni za udiwani kuwaelimisha lkn nikaonekana mjinga na mpmbavu nisiejua kitu, eti kikwete ni rais mzuri kuliko walopita...acha kaka achaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
kablanzwili au? mtoto wa mkulima jana kasema maisha ya kijijini ni korofi sana. ulidhani anatania? alikuwa anasema toka moyoni. yule bwana ni msema kweli
 
Jamani mwezi septemba nilipita maeneo ya kasulu na kukuta watoto wadogo sana wamebeba kuni bila shaka walikuwa wanaenda sokoni ili angalao waweze kupata mlo.Tunahitaji kutafakari hali hii
View attachment 17212

eeeh ndo huko JK aliwaambia anataka iwe kama Dubai in the next 5 years za utawala wake..Huyu mzee ana utani sana na mambo ya msingi
 
hayo ndio maisha ya watanzania halafu mashuleni tunawashindanisha viwango vya kufaulu mashuleni sawa na watoto wanaotumia majiko ya gesi
 
Da! Inasikitisha. Halafu kesho tunatukanana kwa vigezo vya dini. We Mkristo, We Muislam. Hawa watoto haya ya Ukristo na Uislam yanawahusu nini? Wana njaa, hawana nguo, hawaendi shule, wanaishi na bibi. Suala la mgombea Urais kuwa Mkristo au Muislam linawahusu nini? Wana makosa gani kuwa Waislam? Wana makosa gani kuwa Wakristo? Wana makosa gani kuzaliwa Tanzania? Mwaka juzi nilikuwa Mbeya. Nilimwona bibi kizee kapinda mgongo amebeba kuni. Nililia.
 
maisha kweli magumu, ila vijana wamenifurahisha kwasababu paomja na dhana duni wamebuni hizo baiskeli za miti. wangekuwa kwa nchi za wenzetu si wangewajengea mazingira ya ku improve zaidi ujuzi huu............!
 
Mama weeeeee. Na hizo baisikeli? Utawalinganisha hao na wale watoto wa Masaki wanaokula tuition kila siku na kupata Piza na burgers?

Wakati wa Kampeni hao hao ndiyo wanajipaka rangi za njano na kijani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom