Maisha bila kafara hii ngoma haiendi, utaishia kusindikiza wenzako

Ushirikina ni imani kama imani zingine. Amini katika unachotaka kuamini tena amini sana. Utafanikiwa kwa mlengo wako huohuo.
 
Watu wanaofikia huko ni WAVIVU WA MAISHA , waliokata tamaa na Wajinga tu

Hiyo ni Imani tu ya kijinga wala haifanyi kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom