Ochumeraa
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 4,504
- 5,707
Suala la kuchangiana kwenye sherehe na harusi kwangu naona halipo Sawa, kama unaoa si ujipange mwenyewe ya nini kuumizana kwenye jambo linalokuhusu mwenyewe....Suala la michango ni muhimu kwenye maafa tu lakini si furaha....Jipange mwenyewe siyo kulipisha wengine utadhan tunashare huyo mke