Elections 2010 Maisha baada ya uchaguzi

mayenga

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
4,118
1,966
Najaribu kupiga picha sioni mbele mara baada ya tarehe 31 Oktoba.Ni kipindi ambacho wengi watalia na kusaga meno,ni kipindi ambacho wengi watashangilia ushindi wa kiongozi mpya,kwa sura,tabia na mwenendo.Ni kipindi ambacho wengi wataikimbia nchi na kutokomea,ni kipindi ambacho wengi watatamani wasingezaliwa.Wewe mdau unafikiria maisha gani baada ya uchaguzi?
 
Back
Top Bottom