Maisha baada ya uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maisha baada ya uchaguzi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mayenga, Oct 20, 2010.

 1. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2010
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,753
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  Najaribu kupiga picha sioni mbele mara baada ya tarehe 31 Oktoba.Ni kipindi ambacho wengi watalia na kusaga meno,ni kipindi ambacho wengi watashangilia ushindi wa kiongozi mpya,kwa sura,tabia na mwenendo.Ni kipindi ambacho wengi wataikimbia nchi na kutokomea,ni kipindi ambacho wengi watatamani wasingezaliwa.Wewe mdau unafikiria maisha gani baada ya uchaguzi?
   
Loading...