Maisha baada ya kupona Corona ni bora kuliko kabla ya Corona

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,326
Ukisha pata corona, basi unakua na kinga na hutapata tena.. unaweza jirusha utakavyo huna wasiwasi wala nini.

Jamani maisha tunaishi sasa ambao hatuna corona ni shida.. wasiwasi 24/7, mashaka na kuna wengi wanatest kama wanaoumua vizuri kama mimi hapa.

Kitu kidogo kikiuma mwilini hata usingizi hauji, unatamani unywe hata sanitizer.

Kungekuwa na uhakika wa kupona , hakinya nani ningejitolea kupata corona maana haya maisha ni shida.

FB_IMG_1588506758284.jpeg
 
Mkuu acha kujidanganya , nani kakwambia ukiumwa corona ukipona huumwi tena? America ya kusini walithibisha kua kuna watu walipona corona na badae wakapata maambukizi upya, unachoongea hakipo mkuu .

Kwamba ukiumwa mafua yakipona huumwi tena kwel?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo unadanganya akili yako hivyo, mbona mafua na kikohozi na magonjwa mengine yasingekuweko kwa maana tunaugua yanajirudia haya haya
 
Angalia utafiti wa wachina...walisema huwezekano wa kupata corona bado upo pale pale hata kama ulikua nao na ukapona.

Wamepima hadi shahawa(semen) za wagonjwa na wale ambao wamepona corona na hizo shahawa zikakutwa zina corona!
 
Ukisha pata corona, basi unakua na kinga na hutapata tena.. unaweza jirusha utakavyo huna wasiwasi wala nini.

Jamani maisha tunaishi sasa ambao hatuna corona ni shida.. wasiwasi 24/7, mashaka na kuna wengi wanatest kama wanaoumua vizuri kama mimi hapa.

Kitu kidogo kikiuma mwilini hata usingizi hauji, unatamani unywe hata sanitizer.

Kungekuwa na uhakika wa kupona , hakinya nani ningejitolea kupata corona maana haya maisha ni shida.

Nani kasema

Mkuu Korona siyo Tetekuwanga kuwa makini. Pili unaambiwa virus vyenyewe vinafanya mutation
 
Back
Top Bottom