Francis3
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 489
- 1,629
nikwabie kitu kagoogle maana ya nature tusipotezeane muda kuchapa hapaHivi kaka kati yangu mimi na wewe nani mjinga ? Nakupa faida UJINGA ni dhidi ya elimu.
Naanzia hapa,nani amepinga kwamba nature sio asili ? Halafu ukisema Nature ni asili,hii ni tarjama tu mzee,umetoa kwenye kiingereza umeleta kwenye Kiswahili. Sikutegemea swali la kielimu kama hili likajibiwa kijinga namna hii. Yaani kwa ufupi swali hukajibu.
Sasa nataka unieleze hiyo asili inafanyaje kazi na hiyo asili ni nini ?
Nilipokuuliza ni nini Nature nilitaka ueleze nature inafanya vipi kazi.
Kwasababu hukujua nimeuliza nini,nakupa fursa ujibu swali langu hilo. Kwamba Nature ni nini ? Huwa sikurupuki mzee.
Nipo................