Maisha baada ya kifo

Kwa mujibu wa maelezo yako ni kwamba binadamu amewekea hali ya utashi. Hivi wakati Mungu anamuumba mtu si umesema kuwa Mungu anajua kuwa mtu X atakuwa ni wa motoni (ambapo kwa maelezo yako umesema kuwa anaenda kwa utashi wa huyo mtu mwenyewe), je inawezekana huyu mtu X akiwa duniani, anaweza akabadilika akawa mtu wa peponi?
Kabla ya kukujibu swali ulilouliza ninakuomba radhi, nitaanzia mbali kidogo nitakujibu kwa maelezo marefu.Nitakujibu kwa mujibu wa Imani yangu, mimi ni Muislam.

Kwa itikadi ya kiislam Mungu ni mjuzi wa kila kitu elimu/maarifa yake yamezunguka kila kitu. Elimu yake ni encompassing. Anafahamu kitu kwa ujumla wake na kwa hakika, kipindi au nyakati fulani chochote kiwe katika hali ya namna yoyote kwake yeye anafahamu. Past, present and future zote amezitawala.

Kwa sababu knowledge of God is all encompassing tayari yeye ameshajua maamuzi ambayo utakayoyafanya kutokana na Uhuru au Utashi aliyokupa so he put your own decision in your destiny. Kwa hiyo, utofauti ni kwamba wewe ndiye uliyeichagua hiyo hali so unafuatisha tu yale uliyoyachagua na its not like you are following something like an instruction.

Kukujibu swali lako ni kwamba we can't change destiny we only have a choice imma X au Y au kulia au kushoto and the loard your God does not take your choice even though he knows what choice you will make. Ukumbuke pia maamuzi yetu ndiyo ameyaweka in our destiny.
 
Hukujibu swali bali umetoa maelezo mengi yasiyojibu swali langu. Nimekuuliza hivi "Mungu anajua kuwa mtu X akija duniani atakuwa mwizi na mwisho wa siku atakufa akiwa wa motoni lakini kamuumba hivyo hivyo. Wewe umesema kuwa huyu mtu anakuwa mwizi kwa utashi wake mwenyewe ninakuuliza je inawezekana huyo mtu X akaja duniani na asiwe mwizi na mwishowe akawa mtu wa peponi?

JIBU KAMA INAWEZEKANA AU HAIWEZEKANI SIO MAELEZO MENGI
 
Sijasema Mungu ana mapungufu bali alichokiumba ndio chenye mapungufu na amejua kuwa kabisa kuwa kipi kitatokea lakini amekiacha ina maana ameamua yeye Mungu kitokee. Ndio maana nimekupa mfano wa fundi ujenzi anayejenga nyumba kisha akagundua kuwa juu kwenye bati kuna matundu ambayo mvua ikinyesha nyumba itakuwa inavuja. Lakini fundi huyu mbali kugundua huo uwazi lakini hayazibi hayo matundu kwanini?
Mfano huo ni sawa na Mungu ambaye anajua kabla hata hajamleta duniani mtu X, kuwa akienda duniani atakuwa ni mzinzi na mwizi na ataenda motoni lakini bado kamleta duniani hivyo hivyo wakati alikuwa na uwezo wa kumuumba asiwe mwizi na mzinzi?
Kweli kabisa baada ya Adam na Bi Hawa kukaidi maagizo yake ilibidi awarekebishe na sio kuwafukuza Eden hii inaonesha Mungu katupa mitihani wanaadamu na kuchagua kwa kwenda
 
Je Anayechagua pa kwenda ni mtu au Mungu ndiye anayemlazimisha mtu pa kwenda? Kwa mfano Mungu wakati anamuumba Abuu Said anajua kabisa kuwa huyu Abuu Said akija duniani atakuwa na matendo na tabia zitakazompeleka motoni, je kuna uwezekano wa huyu Abuu Said duniania akatenda matendo tofauti na alivyotaraji Mungu na mwishowe akawa mtu wa peponi?
 
Hukujibu swali bali umetoa maelezo mengi yasiyojibu swali langu. Nimekuuliza hivi "Mungu anajua kuwa mtu X akija duniani atakuwa mwizi na mwisho wa siku atakufa akiwa wa motoni lakini kamuumba hivyo hivyo. Wewe umesema kuwa huyu mtu anakuwa mwizi kwa utashi wake mwenyewe ninakuuliza je inawezekana huyo mtu X akaja duniani na asiwe mwizi na mwishowe akawa mtu wa peponi?

JIBU KAMA INAWEZEKANA AU HAIWEZEKANI SIO MAELEZO MENGI
Jibu ni inawezekana na haiwezekani.
 
Je Anayechagua pa kwenda ni mtu au Mungu ndiye anayemlazimisha mtu pa kwenda? Kwa mfano Mungu wakati anamuumba Abuu Said anajua kabisa kuwa huyu Abuu Said akija duniani atakuwa na matendo na tabia zitakazompeleka motoni, je kuna uwezekano wa huyu Abuu Said duniania akatenda matendo tofauti na alivyotaraji Mungu na mwishowe akawa mtu wa peponi?
Kwa Iman yangu Mimi km Mungu amekuumba kwamba wewe ni wa Peponi unaweza kufanya mambo ya motoni lakini mwisho wa siku ukabadilika na kufanya mambo Peponi kwa kutubia dhambi zako.....
Vivyo hivyo km wewe umeumbwa ni mtu wa Motoni unaweza Fanya ibada saana lakini mwisho wa siku ukatenda madhambi makubwa yatakayo kupeleka Motoni mwisho wa siku..... The only God known
 
Kwahiyo Mungu mwenyewe ndiye anayebagua watu wakati anaumba kwamba huyu namuumba ni wa motoni na huyu ninayemuumba ni wa peponi?
 
Unalolihitaji nililifanya tangu mwanzo Ila lilishindikana ukaniona natoa maelezo meeeengi.

inawezekana, kivipi? Jibu ni kwa Dua.
Kwa misingi hiyo inamaana ya kwamba "kabla ya mtu anajaletwa duniani, Mungu hajui au hana uhakika kama huyo mtu atakuwa wa motoni au wa peponi hivyo jitihada zake ndizo zitakazotoa hatima yake.
 
Tatizo lako ni kwamba ukijibiwa unadai natoa maelezo mengi yasiyokuwa na jibu. Mimi ni Mkufunzi kwa hili unaloliuliza, nikilisoma swali lako najua moja kwa moja unachohitaji ni kipi na wapi penye mapungufu. Jibu nitakalolitoa ni lenye suluhisho pana kwa ulilouliza. Pengine kutofahamu nilichoandika inawezekana ni makosa yangu ya uwasilishaji, samahani kwa hilo.

Najibu tena kwa mara ya pili ulichouliza.

Kwanza binadamu hana uwezo wa kufikiri na wa kujua mambo kama Mungu. Unayoyafanya Mungu tayari ana habari nayo kitambo na anafahamu hawa ni wa Motoni hawa ni wa Peponi. Maamuzi yako kwa vile Mungu alishayajua kabla ya, alichokifanya maamuzi yako kayaweka ndo yamekuwa katika mfumo wako wa maisha. Kama huyo mtu X akibadilika imma kutoka kuwa mwema na kuwa muovu au kinyume chake hayo Mungu anayajua tayari alishaiona future yako kitambo na anajua utakuwa Peponi au Motoni.

Kwa hiyo, utofauti unaokuja ni kwamba tulishachagua na Mungu anafahamu kwamba tulishachagua na tayari Mungu alishahukumu kwa yale tuliyoyachagua.
 
Hakuna cha kwenda mbinguni wala nini,ukishakufa ndio mwisho wako hapohapo.ni sawa na unavyomchinja kuku na kumla mwisho wake unakuwa ni pale.Kuhusu masuala ya imani,yapo ili kutupa hofu ya kuishi kwa amani,kiungwana na kutii mamlaka.Na hakuna kingine zaidi ya hicho.
 
Tatizo lako ni kwamba ukijibiwa unadai natoa maelezo mengi yasiyokuwa na jibu. Mimi ni Mkufunzi kwa hili unaloliuliza, nikilisoma swali lako najua moja kwa moja unachohitaji ni kipi na wapi penye mapungufu. Jibu nitakalolitoa ni lenye suluhisho pana kwa ulilouliza. Pengine kutofahamu nilichoandika inawezekana ni makosa yangu ya uwasilishaji, samahani kwa hilo.

Najibu tena kwa mara ya pili ulichouliza.

Kwanza binadamu hana uwezo wa kufikiri na wa kujua mambo kama Mungu. Unayoyafanya Mungu tayari ana habari nayo kitambo na anafahamu hawa ni wa Motoni hawa ni wa Peponi. Maamuzi yako kwa vile Mungu alishayajua kabla ya, alichokifanya maamuzi yako kayaweka ndo yamekuwa katika mfumo wako wa maisha. Kama huyo mtu X akibadilika imma kutoka kuwa mwema na kuwa muovu au kinyume chake hayo Mungu anayajua tayari alishaiona future yako kitambo na anajua utakuwa Peponi au Motoni.

Kwa hiyo, utofauti unaokuja ni kwamba tulishachagua na Mungu anafahamu kwamba tulishachagua na tayari Mungu alishahukumu kwa yale tuliyoyachagua.

Kwanza nakuu ulichoandika
1 "Mungu alichokifanya maamuzi yako kayaweka ndo yamekuwa katika mfumo wako wa maisha"

2. "Kwa hiyo, utofauti unaokuja ni kwamba tulishachagua na Mungu anafahamu kwamba tulishachagua na tayari Mungu alishahukumu kwa yale tuliyoyachagua"

Swali:
Kwahiyo wakati Mungu anamuumba mtu kabla ya kumleta duniani anampa option ya kuchagua either awe mtu mwema au awe mtu mbaya kisha anachochagua mtu ndio hiko anachomwekea kwenye mfumo wa maisha yake akija duniani?
 
Yaani hapo mtu anae kufa anakuwaje amepingana na law za Nature ?

Hizo law za Nature asili yake wapi ?
wewe kweli mjinga nature si ndio asili
Pili unajua ni nini maana ya law ?
sheria

Tatu umejuaje kama hizo ni law ?
kama ukiharibu asili matokeo yake ni punishment au kifo basi huo ni mwiko kwenye asili
kitu kikishakua na mwiko wake basi kinacho sheria zake
mfano issue ya mwanadamu akiumwa anatibiwa na kupona wakati nature ilitaka imtoe nje ila wew umeipinga nature matokeo yake population ya wanadamu tunazidi tunakufa njaa hicho ni kipigo kutoka kwenye asili

Kama hizo law umezijua kupitia binadamu ni upi ukweli wake halisi kutokana na ukamilifu ?
soma, waza, na hitimisha

Naomba sana unijibu maswali haya kaka mkubwa ili nipate faida. Nasema hivi sababi huwa mnatabia ya kutokujibuwa maswalo ya msingi.

Nasubiri.............
umeshajibiwa hizi ni assumption tu kiongozi nafanya
 
wewe kweli mjinga nature si ndio asili

sheria

kama ukiharibu asili matokeo yake ni punishment au kifo basi huo ni mwiko kwenye asili
kitu kikishakua na mwiko wake basi kinacho sheria zake
mfano issue ya mwanadamu akiumwa anatibiwa na kupona wakati nature ilitaka imtoe nje ila wew umeipinga nature matokeo yake population ya wanadamu tunazidi tunakufa njaa hicho ni kipigo kutoka kwenye asili

soma, waza, na hitimisha

umeshajibiwa hizi ni assumption tu kiongozi nafanya

Hivi kaka kati yangu mimi na wewe nani mjinga ? Nakupa faida UJINGA ni dhidi ya elimu.

Naanzia hapa,nani amepinga kwamba nature sio asili ? Halafu ukisema Nature ni asili,hii ni tarjama tu mzee,umetoa kwenye kiingereza umeleta kwenye Kiswahili. Sikutegemea swali la kielimu kama hili likajibiwa kijinga namna hii. Yaani kwa ufupi swali hukajibu.

Sasa nataka unieleze hiyo asili inafanyaje kazi na hiyo asili ni nini ?

Nilipokuuliza ni nini Nature nilitaka ueleze nature inafanya vipi kazi.

Kwasababu hukujua nimeuliza nini,nakupa fursa ujibu swali langu hilo. Kwamba Nature ni nini ? Huwa sikurupuki mzee.

Nipo................
 
habari zenu

nina maswali ambayo kwa uwezo wa fikra zangu nimeshindwa kuyapatia jibu ,nimeamua kuyaleta kwenu najua siwezi kukosa jibu, maswali yanahusiana na imani zaid

NOTE: usilete utani tupo apa kusaidiana

1:kwa mujibu wa imani zetu tunafundishwa kwamba siku ya mwisho baada ya ukumu wenye dhambi wanakwenda motoni na wasio na dhambi wanakwenda mbinguni
swali: mababu zetu waliokufa zamani kabla dini hazijaja na hawakuwa na mafunzo yoyote kuhusu Mungu tunaemwabudu je wao watahukumiwa au lah??

2: dini zetu zinatuimanisha kuwa Mungu wetu anauwezo mkubwa kiasi kwamba anatufahamu sisi kabla hatujazaliwa, maisha yetu na hata kufa kwetu,
swali: kwa uwezo alionao Mungu wetu ni dhahiri kuwa anajua yupi atakwenda motoni na yupi ni wambinguni kama ndio ivo kwanini kuwepo na hukumu?? na kama hajui yupi atakwenda motoni na yupi atakwenda mbinguni inamaana Mungu wetu ni dhaifu kiasi kwamba kunavitu havijui??

maswali bado ni mengi ila nimeamua kuuliza kwanza machache ili nisje changanya wanaojibu

Mkuu swali hilo aliyeanza kuuliza humu ndani ni T bagwell, na amejibiwa na watu wengi , jaribu kutafuta hiyo hizo post humu ndani utazipata tu.
 
Wazee waKanisa washasema Kuna Maisha baada ya kifo. Hadi watakapobadilisha usemi huu naamini hivyo kwamba Maisha yapo basi. Siwezi kwenda kinyume na mafundisho ya wazee waKanisa
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom