Rodyizzy
Senior Member
- May 4, 2013
- 185
- 136
Habari zenu
Nina maswali ambayo kwa uwezo wa fikra zangu nimeshindwa kuyapatia jibu ,nimeamua kuyaleta kwenu najua siwezi kukosa jibu, maswali yanahusiana na imani zaid
NOTE: usilete utani tupo apa kusaidiana
1:Kwa mujibu wa imani zetu tunafundishwa kwamba siku ya mwisho baada ya ukumu wenye dhambi wanakwenda motoni na wasio na dhambi wanakwenda mbinguni
swali: Mababu zetu waliokufa zamani kabla dini hazijaja na hawakuwa na mafunzo yoyote kuhusu Mungu tunaemwabudu je wao watahukumiwa au lah?
2: Dini zetu zinatuimanisha kuwa Mungu wetu anauwezo mkubwa kiasi kwamba anatufahamu sisi kabla hatujazaliwa, maisha yetu na hata kufa kwetu.
Swali: Kwa uwezo alionao Mungu wetu ni dhahiri kuwa anajua yupi atakwenda motoni na yupi ni wambinguni kama ndio ivo kwanini kuwepo na hukumu? na kama hajui yupi atakwenda motoni na yupi atakwenda mbinguni inamaana Mungu wetu ni dhaifu kiasi kwamba kunavitu havijui?
Maswali bado ni mengi ila nimeamua kuuliza kwanza machache ili nisje changanya wanaojibu