Maisha baada ya kifo

Rodyizzy

Senior Member
May 4, 2013
185
136
Habari zenu

Nina maswali ambayo kwa uwezo wa fikra zangu nimeshindwa kuyapatia jibu ,nimeamua kuyaleta kwenu najua siwezi kukosa jibu, maswali yanahusiana na imani zaid

NOTE: usilete utani tupo apa kusaidiana

1:Kwa mujibu wa imani zetu tunafundishwa kwamba siku ya mwisho baada ya ukumu wenye dhambi wanakwenda motoni na wasio na dhambi wanakwenda mbinguni

swali: Mababu zetu waliokufa zamani kabla dini hazijaja na hawakuwa na mafunzo yoyote kuhusu Mungu tunaemwabudu je wao watahukumiwa au lah?

2: Dini zetu zinatuimanisha kuwa Mungu wetu anauwezo mkubwa kiasi kwamba anatufahamu sisi kabla hatujazaliwa, maisha yetu na hata kufa kwetu.

Swali: Kwa uwezo alionao Mungu wetu ni dhahiri kuwa anajua yupi atakwenda motoni na yupi ni wambinguni kama ndio ivo kwanini kuwepo na hukumu? na kama hajui yupi atakwenda motoni na yupi atakwenda mbinguni inamaana Mungu wetu ni dhaifu kiasi kwamba kunavitu havijui?

Maswali bado ni mengi ila nimeamua kuuliza kwanza machache ili nisje changanya wanaojibu
 
1.Mungu ameziweka sheria zake mioyoni mwa watu na ndo maana watu wanaweza kuhukumu.kwa hivyo hata hai mababu wa zamani sio kwamba hawakujua lengo la MUNGU katika maisha.walijua Sana wameletwa hapa Ili kujaribiwa katika shida na raha.

God is wise and knowing.he Will inform disbelieve what they used to corrupt.na hio siku haiko mbali.ni siku yako ya kufa.utaletwa Moto kupima matendo yako.

Swali la pili jibu Ni kwamba Mungu amempa mwanadamu Uhuru kamili wa kuamua katika njia mbili na mbaya.ni Kama tuseme Mungu ameingia mkataba na uzao wa watu kwamba atakuacha kwa muda uamue wewe unataka uwe kundi gani.ila kwake yeye lazima turejee wote.
 
habari zenu

nina maswali ambayo kwa uwezo wa fikra zangu nimeshindwa kuyapatia jibu ,nimeamua kuyaleta kwenu najua siwezi kukosa jibu, maswali yanahusiana na imani zaid

NOTE: usilete utani tupo apa kusaidiana

1:kwa mujibu wa imani zetu tunafundishwa kwamba siku ya mwisho baada ya ukumu wenye dhambi wanakwenda motoni na wasio na dhambi wanakwenda mbinguni
swali: mababu zetu waliokufa zamani kabla dini hazijaja na hawakuwa na mafunzo yoyote kuhusu Mungu tunaemwabudu je wao watahukumiwa au lah??

2: dini zetu zinatuimanisha kuwa Mungu wetu anauwezo mkubwa kiasi kwamba anatufahamu sisi kabla hatujazaliwa, maisha yetu na hata kufa kwetu,
swali: kwa uwezo alionao Mungu wetu ni dhahiri kuwa anajua yupi atakwenda motoni na yupi ni wambinguni kama ndio ivo kwanini kuwepo na hukumu?? na kama hajui yupi atakwenda motoni na yupi atakwenda mbinguni inamaana Mungu wetu ni dhaifu kiasi kwamba kunavitu havijui??

maswali bado ni mengi ila nimeamua kuuliza kwanza machache ili nisje changanya wanaojibu
Sasa maisha gani na huku umekufa?? Critical thinking ulitakiwa useme baada ya kufa nini hufuatia, maana ya maisha ni kuwa kitu/ mtu yu hai sasa wewe umesema baada ya kufa ukimanisha hamna uhai/maisha sasa hayo maisha/uhai wa maiti unatoka wapi?

Kidini ni kuwa kifo/uhai ni vitu vya duniani lakini ukifa wafuasi wa imani moja au nyingi uamini roho ambayo haihalisiki uenda aither mbinguni au motoni ambapo pia ni vitu kiimani kama ambayo roho siyo halisi pia huwezi kuita ina maisha/uhai hivyo neno UZIMA WA MILELE au JEHANAM hutumika kumanisha hali ya uungu/HALI YA UMUNGU ama Ushetani/HALI USHETANI/MATESO.
 
Kama mbingu ipo kuna vitengo vya binadamu, wanyama, wadudu na vitu vyote vyenye uhai. Hizo bafasi zimeshajaa, huenda mbingu haipo tena. Tukubali tu ni fix, binadamu ubapotea tu kama mnyama
 
Q1.Hivi unajua kabla ya dini kuna hao mababu na mabibi walikuwa wakiaamini kuwa Mungu yupo dini imekuja kubadilisha mfumo tuu!!
Kabla ya dini gani mkuu? Unakusudia hizi zinazoeleza tokea habari za binaadamu wa kwanza?

Na hao mababu zetu wao waliyajuaje masuala ya Mungu? Mara zote nimekuwa nikijiuliza hili swali.
 
Q1.Hivi unajua kabla ya dini kuna hao mababu na mabibi walikuwa wakiaamini kuwa Mungu yupo dini imekuja kubadilisha mfumo tuu!!
Hiv ni kweli unachosema kiwa mababu zutu walikuwa wakiamini mungu yupo??

Hiv unajua tofaut yamungu n miungu??

Fwatilia dini za tonazoita za mizimu kimakini
 
habari zenu

nina maswali ambayo kwa uwezo wa fikra zangu nimeshindwa kuyapatia jibu ,nimeamua kuyaleta kwenu najua siwezi kukosa jibu, maswali yanahusiana na imani zaid

NOTE: usilete utani tupo apa kusaidiana

1:kwa mujibu wa imani zetu tunafundishwa kwamba siku ya mwisho baada ya ukumu wenye dhambi wanakwenda motoni na wasio na dhambi wanakwenda mbinguni
swali: mababu zetu waliokufa zamani kabla dini hazijaja na hawakuwa na mafunzo yoyote kuhusu Mungu tunaemwabudu je wao watahukumiwa au lah??

2: dini zetu zinatuimanisha kuwa Mungu wetu anauwezo mkubwa kiasi kwamba anatufahamu sisi kabla hatujazaliwa, maisha yetu na hata kufa kwetu,
swali: kwa uwezo alionao Mungu wetu ni dhahiri kuwa anajua yupi atakwenda motoni na yupi ni wambinguni kama ndio ivo kwanini kuwepo na hukumu?? na kama hajui yupi atakwenda motoni na yupi atakwenda mbinguni inamaana Mungu wetu ni dhaifu kiasi kwamba kunavitu havijui??

maswali bado ni mengi ila nimeamua kuuliza kwanza machache ili nisje changanya wanaojibu

mkuu hongera sana kwa swali lako japo lina utata na wengi huenda chaka kwa kufuata mafundisho ya vitabu vya dini..


Kwanza kabsa naomba nikujulishe kuwa ,katika ulimwengu unaoishi kuna layer nyingi sana zinazoruhusu life proliferation( muendelezo wa maisha) kulingina na concious awareness ya kiumbe atakayokufa akiwa nayo..

Siku nikipata muda nitatolea ufafanuzi juu ya parallel universe na zina kazi zake katika kuruhusu maisha yaendelee..

Kwanza kabsaa naomba nikuambie tu kuwa once a soul is created and formed,it can not be destroyed but it is transformed from one parallel universe to another ( nafsi yako inayohusiana na kubeba ufahamu wako ikishaumbwa na kuruhusiwa kuja hapa duniani,haiwezi kamwe kuharibiwa lakini itahamishwa makazi tofauti kutokana na ufahamu iliyopata kuujua huu ulimwengu ulivyo)

This is a great mystery...ni wachache wanalijua hilo..

Hivyo basi katika ulimwengu huu unaoishi ,kuna limwengu zingine nyingi tu ambazo zinaruhusu maisha ya nafsi na roho kuishi kulingana na uwezo ( concious awareness nafsi imepata kujua jinsi nature ilivyo)

Sisi binadamu tunaonana kwa sababu tunaoccupy two presences( uwepo wa soul form na body form) ,.

Hivyo ukifa roho yako na mwili wako hutengana ndipo rohoyako kuruhusiwa kuingia kweny universe yenye parallel flani ambayo inaruhusu soul(nafsi au awarenesa zenye level flani ya ufahamu)
Ikumbukwe kuwa kila concious awareness flani ina makazi yake( parallel universe flani) kulingina na concious awereness uliyopata kujua kabla hujafa.

unapozaliwa na kuanza kukua unakuwa unaona au unapersive vitu katika 2D( two dimension awareness) ila kadri unavyokua unaingia kwenye 3D na hapa ndi mwanadamu anakuwa na uwezo wa kuanza kutambua mazingira( manake nini wewe unaesoma hii thread upo katika 3D awareness)

ukifa tayari roho yako yenye subconcious form in nature inashift to another plane( universe nyingine yenye dimesion kubwa zaidi)

ukiwa kwenye dimension kubwa tayari unakuwa umeachana na plane moja ya universe na kuingia another plane of reality depending with your subconcious awareness uliotoka nao huko..
PhotoGrid_1536772804668.jpg

kwa hiyo ukifa unaingia kwenye higher dimensions of life form na kila plane of reality inahabour roho zenye conciousness flani ziliyotoka nayo huko duniani kwenye 3D ( three dimension awareness).
PhotoGrid_1536772725483.jpg


Hivyo basi kabla hujafa unapaswa kuwa umefikia level flani ya conciousness awareness ambayo itakufanya uweze kuingia kwenye plane ambayo ni more advanced than uliyokuwa nayo...hapa ndipo ule usemi unaosema kuwa when you attain knowlege ,you get awareness and this awareness will determine your life plane soon after death..

kwa hiyo maisha baada ya kifo yanaendelea kulingana na knowlege uliyotoka nayo..

Kuna watu wanawadanganya wengine kuwa eti ukifa au tukifa wote tunakuwa sawa,...no no no big no..kama ni hivo kina Billgate na Jeff bezos wasingekuwa bize kukusanya pesa na uelewa wa jinsi dunia ilivyo..

ifahamike kuwa mwenye pesa tayari anakuwa na access ya kujua jinsi ulimwengu ulivyo hence anakuwa na knowlege ya kutosha ya kumfanya aingie kwenye kwenye 5D before hata hajafa kitu ambacho kitamfanya atakapokufa atakuwa kwenye another higher level of dimensions kuliko mimi na wew Nampulilampi
Hivyo ni jukumu lako hasa kutafuta knowlege kubwa au uongeze maarifa juu ya jinsi ulimwengu ulivyo kwani ni faida kwako badae..
PhotoGrid_1536772769590.jpg


Unavyoona utofauti wa maisha huku duniani ndivyo ilivyo katika higher life dimensions baada ya kufa..usione wenye pesa wanazidi kununua ufahamu zaidi jinsi dunia au ulimwengu ulivyo halafu wew ukawadharau na kusema wote tutakufa..
by the way there is no death kama unavofikilia just transformation ya recognition katika awareness yako ambapo roho inaingia katika another level of dimensions baada ya kuachana na mwili..

PhotoGrid_1536772699554.jpg


kwa hiyo maisha baada ya kifo ni mwendelezo wa awareness uliyotoka nayo kuku duniani..

sisi tunaonana kwa sababu tupo tunaview things katika mfumo wa 2D au 3D hivyo utakapokuwa na uwezo wa kuanza kuview things katika 5D au 8D hakika utakakuwa unaona species au creatures katika mfumo wa hali ya juu katika maono makubwa kabsa( na viumbe watakuwa wamegawanyika matika makundi tofauti tofauti depending na aina ya awareness muliyotoka nayo before death...

mfano mzuri ni uwepo wa Ghost Hitch hiker (mizimu inayotembea au kuwatokea watu) katika maisha yetu..mara nyingi mtu akifa anashift katika another plane of reality na huko anakuwa amekwenda anakuwa under guided by universal laws zinazoguide roho au mtu kuwa katika level ile na haiwezi kukuruhusu urudi tena duniani ( ndo mana mtu akifa amekufa,) ..there is no turning back unless it is hoax...
 
1.Mungu ameziweka sheria zake mioyoni mwa watu na ndo maana watu wanaweza kuhukumu.kwa hivyo hata hai mababu wa zamani sio kwamba hawakujua lengo la MUNGU katika maisha.walijua Sana wameletwa hapa Ili kujaribiwa katika shida na raha.God is wise and knowing.he Will inform disbelieve what they used to corrupt.na hio siku haiko mbali.ni siku yako ya kufa.utaletwa Moto kupima matendo yako.
Swali la pili jibu Ni kwamba Mungu amempa mwanadamu Uhuru kamili wa kuamua katika njia mbili na mbaya.ni Kama tuseme Mungu ameingia mkataba na uzao wa watu kwamba atakuacha kwa muda uamue wewe unataka uwe kundi gani.ila kwake yeye lazima turejee wote.
jibu la kwanza sijarizika nalo kabisa ,kaka usivute pcha mababu wa juzijuzi ebu vuta pcha henzi za zama za mawe za mwanzo ebu fikilia kipindi kile watu wanawasiliana kwa kutumia ishara zaid kulikua kuna kuabudu kweli?? na kama kuliwepo basi walikuwa wanaabudu miungu na si uyu Mungu tulie mjua baada ya waarabu na misionari kuleta hizi dini

jibu la pili pia vilevile kama ametupa muda tuamue tuwe kundi gani inamaana kwake kuna ukomo wa kujua kwamba mwisho wasiku nani atakuwa wapi na nani atakuwa wapi??
 
Q1.Hivi unajua kabla ya dini kuna hao mababu na mabibi walikuwa wakiaamini kuwa Mungu yupo dini imekuja kubadilisha mfumo tuu!!
nakupiga ,wao walikuwa wanajua miungu na sio Mungu
 
Back
Top Bottom