acheni wivu wa kike nyie, kuwaona wenzenu cuf wameshika madaraka serikalini inawauma sana. Siku zote dhamira ya chama cha siasa ni kushika madaraka na kwa cuf hilo ndilo linalo elekea kwao.
ndugu, wewe utakuwa uchi wa mbuzi sasa..... Kumbuka hata wakoloni waliwatumia machifu kuwanyanyasa watu wao, naamini hata cuf wameshirikishwa kama machifu enzi zile.
Tunachotaka ni ukombozi wa kweli kwa mtanzania