Main theme ya "Squid Game" ni "Can You Still Trust Anybody to be Good After Everything You've Been Through?"

Hapa nilipo nipo na majonzi sana.
Rafiki yangu wa ukweli last week end alilewa sana!
Akaenda klab akiwa na washkaj wengine wakalewa wakiwa na madem...

Wakati akitoka klab akagongana na gari ingine.sababu ni mapombe akaona ni msala akaondoka kuwahi nyumbani.

Asubuhi yake jpili ananipigia sim kwamba amegonga gari ya mke wake.
Anaomba iwe jua au mvua niseme kwamba nilikuwa nae wakati wa tukio na tulikuwa sehemu tumepaki tukagongwa.

Mi nikaona huu ni UKEI nikamtumia mesej mke wake kwamba jamaa amegongwa hakuwa na mimi..

Alikuwa na madem wengine na wasela wengine kwahiyo mi sikuwepo siku hiyo nilikuwa nimelala zangu...

Jamaa akanipia simu analia mbaya kabisa...
I trusted u my friend but u become a fvckin dick...
Au unataka unilie mke wangu kwann umemwambia na kuharibu wakti nilishampanga akaelewa ikaisha!!

Huku nafsi inaniuma nikamjibu GO FVCK URSELF MAZACHODRI
Kwa kifupi ukitumia meseji kwa sababu hukualikwa kula bata na mshikaji sio?
 
Ile part ya jamaa alivyo rudi akkuta mama yake ka dedi uliniumiza Sana.

Ila aliniboa kudusa zile pesa, nilitamani niingie mle nimlambe makofi
Kutokana na hulka ya jamaa lazima aduse zile fedha ila lingekuwa like jamaa lililokula mbususu lisingeweza kudusa..😂
 
Afu sang woo kwenye hio scenes ailshafahamu mchezo unaokwenda kutokea ,kama unakumbuka alimuuliza yule dada kama ameona chochote wakati alivyoenda chooni kuchungulia ,akamjibu ameona wanayeyusha sukari....wakati wanaangalia maumbo akukmbuka mchezo unavyo chezwa lkn hakumwambia mshikaji wake hata baada ya kuulizwa umegundua chochote akimjibu hapana
Sijui kwa nini hakumwambia labda alitaka afe aache kumtambulisha tambulisha kama best student..
 
Kabla ya Netflix imekuwepo kwenye gemu la Roblox kwa jina hilo hilo na mavazi.. Wazazi wengi wakajua baada ya watoto wao kusema upo pia ndani ya Roblox..
 
yaani mimi kupitia hio movie nimejifunza kumbe pesa haina thamani zaidi kuliko maisha yetu.

japo pesa tunaichukulia kua ndio kila kitu katika maisha yetu ila kumbe maisha yetu ni bora zaidi ta pesa ...
 
Nipo episode ya sita.

Series tamu. Nlikua naipita tu Netflix mpk niliposoma huu uzi nikaona mnavoisifu
Screenshot_20211026-222025_Netflix.jpg
 
Daa kifo cha Ali kilinihuzumisha mno! Ni tuseme movie tu ila nimejifunza na kujifunza zaidi
 
Huyu mzee alimpuna jamaa goroli zote sema ttz lilikua kumbukumbu hana

Alikuwa anakumbukumbu vzr sana mwisho alimwambia kwan sijui kama uliniichukulia golol zangu? Ili uendelee kuish? Ila mzee ndo ivo alikuwa member! Ile kufanya vile hakutak kumtoa jamaa mchezon maana mzee alitokea kumkubal jamaa
 
Huyo mzee ndiyo yuko nyuma ya game nzima, na ndio maana hakuuwawa, na aliamua tuu mwenyewe kujifanyisha kapoteza kumbukumbu ili amsaidie jamaa asife.

Kabisa kabisa maana alimwambia kama anajua kama kabuibia gololi zake! Ila mzee alitokea kumkubal kijana
 
Ukiandika hivi ni Kama vile umewaambia waache kutengeneza pesa kitu ambacho hakiwezekani!! Hili goma litaendelea mkuu.
Sioni likiendelea maana wale watu ambao walikuwa wanainogesha wote wametoka na mahindi katoweja haijulikani kama anaenda kumtafuta mtoto wake huko jwa Biden au lah
 
Back
Top Bottom