Maigizo ya Kisarawe leo 28th June 2020. Kila kitu kilipangwa

Ila huyo Das aliyefukuzwa nae hakujua kama ukiendekeza ngono ofisini lazima uumbuke?
1593373997861.png
 
Rais ametupa dongo kwa Wazaramo kwa kushindwa kumuoa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo

Je, Unakubaliana na Rais Dkt. Magu kuwa Wazaramo wameshindwa kazi? Na unafikiri ni Kabila gani lingeweza kufanikisha zoezi?
 
1. Aliyepewa u-DAS alikua ameandaliwa mapema.

2. Kufukuzwa kwa DAS Mwampamba hakuhusiani kabisa na wake za watu wa Kisarawe.

3. Wakati wote walijifanya hawamjui sana Jokate.

4. Huyu dada alijua mapema kabisa leo anapewa u-DAS.

Mambo mengine tuwaachie lakini ukweli huwa hauachi kujiweka peupe. Dalili zote zilikua zinaonekana.

Siku nyingine leteni movi nzuri kidogo.

Jaffo mtoto wa seremala nakukubali sana, mzee baada ya kustafu yamkini atahamia Kisarawe.

View attachment 1491411View attachment 1491412
Haya unayoyaongea umeyafanzia utafiti?
Yote yasemwayo na Mkuu wa Nchi yanafanyiwa utafiti ili yasimkwaze
katika maamuzi au kudhuru wengine kimtizamo.
Na kama ni maigizo nini kilichokukela kwani aliyemteua ndiye aliyemtengua,
kwani sababu za kumteua na kumtengua anazijua yeye.
 
Mtoa mada hoja yako haionekani nilitegemea umekuja na vivid uthibitisho kuisapoti hoja yako kumbe holaaa!
 
Huyo DAS kagusa "vya wakubwa"? Pole yake! Najaribu ku imagine huko nyumbani kwake....mke, watoto (kama wakubwa),ndugu, jamaa...

Aibu sana. Hakuna namna nyingine za kistaarabu za kwajibisha viongozi mbali na hii ya kuumbuana namna hii? Kuna shida mahali ya wenye mamlaka kutumia vibaya mamlaka yao.
 
Back
Top Bottom