Maigizo ya Ikulu na UVCCM jana Ubungo 19 Jun 2020

Walemavu wangapi wa kweli walikuwepo hapo ubungo? Mkaenda kuleta ndugu zenu ambazo wanashinda kwenye viyoyozi.. eti nao walemavu? Vijana wa kumumba mnafeli wapi?
Hisia zako ndio chanzo cha tatizo lako. Nimekupatia clue ya kinachokusumbua, sasa kifanyie kazi!
 
Hawa watu hawana mbinu kabisa za kushawishi umma. Wanatumia raslimali za umma kwa manufaa yao binafsi. Hivyo vibunda ambavyo Meko huwa anatembea navyo nakugawa kama njugu ukijumlisha toka aingie madarakani ni gharama ya kituo kimoja cha afya.

Hizi ndio fact

1. Wale vijana waliokusanyika walikua ji wana ccm ambao walijikusanya mapema kabisa na sio kwamba watu walijitokeza kumlaki Meko.

2. Wanasema viongozi wa vyama mbali mbali wanampongeza kwa kutekeleza mradi wa ubungo, ukweli hakukua na kiongozi yeyote wa chama kingine zaidi ya viongozi wa ccm ambao ndio waliongoza maandamano haramu hapo ubungo.

3. Yule mama anaye daiwa kupewa bajaji aliandaliwa na vijana wa ccm wanamjua.. angalia alivyo vaa vizuri.

Jiulize kwa nini kila siku anatembea na mil 5?

Muvi yenu hata hajapata like za kutosha.

Siku nyingine tumieni akili ..View attachment 1484000
Naamini maana tangu saa 2 asubuhi nimeona kundi kubwa sana swhemu mbali mbali wakiwa wamevaa nguo za chama kabisa(tisheti na kofia)wakianza kuhamasishana kukusanyika tayari kuelekea maeneo ya shekilango kumbe baadae ndio ilikuwa kumbe shamra shamra za kumpokea
 
Kisha wanaleta uongo eti kulikuwa na vyama mbalimbali .
Naamini maana tangu saa 2 asubuhi nimeona kundi kubwa sana swhemu mbali mbali wakiwa wamevaa nguo za chama kabisa(tisheti na kofia)wakianza kuhamasishana kukusanyika tayari kuelekea maeneo ya shekilango kumbe baadae ndio ilikuwa kumbe shamra shamra za kumpokea
 
Upo sahihi, sijui wana hangaika na nini?

Tume ya uchaguzi ni wana ccm
Wasimamizi ni wana ccm
Rais ni mwana ccm
Polisi ni wana ccm

Na bado wanawaogopa raia utadhani ni raia ni jeshi fulani lenye vifaru na mibunduki.
Acheni kujifariji kijinga. Ccm Ni chama kilichopitwa na wakati....Mbinu za kishamba, Hata mnaokishabikia humu mmepitwa na wakati.ni swala muda tu
 
Hawa watu hawana mbinu kabisa za kushawishi umma. Wanatumia raslimali za umma kwa manufaa yao binafsi. Hivyo vibunda ambavyo Meko huwa anatembea navyo nakugawa kama njugu ukijumlisha toka aingie madarakani ni gharama ya kituo kimoja cha afya.

Hizi ndio fact

1. Wale vijana waliokusanyika walikua ji wana ccm ambao walijikusanya mapema kabisa na sio kwamba watu walijitokeza kumlaki Meko.

2. Wanasema viongozi wa vyama mbali mbali wanampongeza kwa kutekeleza mradi wa ubungo, ukweli hakukua na kiongozi yeyote wa chama kingine zaidi ya viongozi wa ccm ambao ndio waliongoza maandamano haramu hapo ubungo.

3. Yule mama anaye daiwa kupewa bajaji aliandaliwa na vijana wa ccm wanamjua.. angalia alivyo vaa vizuri.

Jiulize kwa nini kila siku anatembea na mil 5?

Muvi yenu hata hajapata like za kutosha.

Siku nyingine tumieni akili ..View attachment 1484000
Inashangaza polisi na wanajeshi kuchanganywa kwenye campeni za ccm kwelinchi hii tumepotea.
 
Ili kujua yule mama aliandaliwa alipomaliza kushukuru akaomba na ulinzi kabisa,ni mara chache sana kwa mtu masikini ambaye hata ile laki kuishika ni changamoto harafu apewe 8.9M akumbuke kuomba ulinzi,ni logic kidogo unaweza kutumia kujua kipi ni trela na kipi ni muvi kamili.
 
Hawa watu hawana mbinu kabisa za kushawishi umma. Wanatumia raslimali za umma kwa manufaa yao binafsi. Hivyo vibunda ambavyo Meko huwa anatembea navyo nakugawa kama njugu ukijumlisha toka aingie madarakani ni gharama ya kituo kimoja cha afya.

Hizi ndio fact

1. Wale vijana waliokusanyika walikua ji wana ccm ambao walijikusanya mapema kabisa na sio kwamba watu walijitokeza kumlaki Meko.

2. Wanasema viongozi wa vyama mbali mbali wanampongeza kwa kutekeleza mradi wa ubungo, ukweli hakukua na kiongozi yeyote wa chama kingine zaidi ya viongozi wa ccm ambao ndio waliongoza maandamano haramu hapo ubungo.

3. Yule mama anaye daiwa kupewa bajaji aliandaliwa na vijana wa ccm wanamjua.. angalia alivyo vaa vizuri.

Jiulize kwa nini kila siku anatembea na mil 5?

Muvi yenu hata hajapata like za kutosha.

Siku nyingine tumieni akili ..View attachment 1484000
Ila nimependa kachumbari ya Mkulu, Raba bila soksi, koti na shati na suruali ya kitambaa. No complication kikubwa kujistiri tu.
 
Walemavu wangapi wa kweli walikuwepo hapo ubungo? Mkaenda kuleta ndugu zenu ambazo wanashinda kwenye viyoyozi.. eti nao walemavu? Vijana wa kumumba mnafeli wapi?
rumba move yao imebuma kabisa, hawa wanachoweza ni kuuwa kwa mapanga tu! puropaganda hawawez kabisa.
 
Back
Top Bottom