Mahusiano

LUPITUKO

JF-Expert Member
Sep 19, 2011
279
183
Wapendwa wadau naomba msaada wenu wa mawazo, hivi inawezekana kweli ukapata mapenzi ya kweli kutoka kwa msichana ambae hajaolewa na wewe umeoa na anajua hilo, lakini wewe(mwanaume) ukawa na upendo wa kweli kwake na kumsaidia kadiri ya uwezo wako?
Nauliza hv coz mtu kutoka nje ya ndoa kunasababu nyingi na sidhani kama wote ni wahuni iwe mwanamke au mwanamke, kwa mfano tu mmoja kasafiri safari ya mbali na ndefu kupoza c ruksa? Mtoto kakosekana kwa sababu yeyote ile, Maradhi ya aina yeyote ile ambayo yanasababisha tendo la ndoa liwe gumu kama ajali vile, operation n.k.
Ukiwa kama binadam mzima kbs lazima utahitaji tendo la ndoa smtime iwe isiwe, sasa lets say upo kwenye ndoa so unatafuta dem, utakuta unaishia kuchunwa tu manake unaonekana kuwa huna mpango endelevu kwake ingawa kiukweli unatatizo na unataka kutulia nae lakini bado madem hawafugiki kisa umeoa eti, jamani tuache kuwapenda hawa watu tuwe tunawatapeli tuuuu kama wao wanavyofanya?
 
mmh! ndo zakumegwa unaachwa! kila mwanamke anatamani na yy siku moja aolewe akue na familia yake!
 
mapenzi hayapimwi kwa kigezo cha ndoa ... kwani unaweza kuingia ndani ya ndoa na ukagundua hukufanya uamuzi sahihi hivyo upendo ukapungua
 
Relation na mme wamtu kamwe haina future, hata kama utampenda utampotezea mda tu na kumtumia hutamuoa hasa kama umeoa kwa ndoa ya kikristo,so km kakubali umtumie nawe kubali kuchunwa!
 
Relation na mme wamtu kamwe haina future, hata kama utampenda utampotezea mda tu na kumtumia hutamuoa hasa kama umeoa kwa ndoa ya kikristo,so km kakubali umtumie nawe kubali kuchunwa!

Na ww si ukubali kutembea na huyo x wko ili umchune.
 
Relation na mme wamtu kamwe haina future, hata kama utampenda utampotezea mda tu na kumtumia hutamuoa hasa kama umeoa kwa ndoa ya kikristo,so km kakubali umtumie nawe kubali kuchunwa!

hapo kinachoonekana ni mapenzi ya ngono tu
 
Back
Top Bottom