Mahusiano yepi mazuri?

slayvai

Member
Sep 1, 2011
12
2
kuwasiliana kwny simu au online tu bila kuonana?yale ya kusimama gizan yani meeting yenu usiku tu mchana uko busy.au kuweka bayana wa2 wote wawaone na kutambua km ya wema na daimond,au yale tangulia kansubr pale chini ya mti m nakuja...
 
yakuibia ndio matamu ila mazuri ni yale ambayo yapo wazi ila sio kama wema na jamaa yake maana sasa yale nikujionyesha tuu. wewe na mpenzi wako ndio mnapendana na isiwe tatizo nyie kuoneka pamoja.
 
t depends na mpenzi wako yupoje ka ni presentable aaah naweka waazi tu kila mtu ajue
ila ka si presentable ni tangulia nakuja yaaani we ongoza tu ntakukuta
 
kuwasiliana kwny simu au online tu bila kuonana?yale ya kusimama gizan yani meeting yenu usiku tu mchana uko busy.au kuweka bayana wa2 wote wawaone na kutambua km ya wema na daimond,au yale tangulia kansubr pale chini ya mti m nakuja...

Yote hapo hayafai....muhimu ni kuweka wazi kila mtu ajue lakini si kama Diamond na Wema ule ni utoto...
 
kuwasiliana kwny simu au online tu bila kuonana?yale ya kusimama gizan yani meeting yenu usiku tu mchana uko busy.au kuweka bayana wa2 wote wawaone na kutambua km ya wema na daimond,au yale tangulia kansubr pale chini ya mti m nakuja...
Enzi za manual search tulifaidi sana.
 
kuwasiliana kwny simu au online tu bila kuonana?yale ya kusimama gizan yani meeting yenu usiku tu mchana uko busy.au kuweka bayana wa2 wote wawaone na kutambua km ya wema na daimond,au yale tangulia kansubr pale chini ya mti m nakuja...

Hit and run ni mzunguka sana huumizi kichwa
 
Kuzamia bila kadi hakufai kabisa

Nilikuambia uende kwa Lizzy kulikuwa na pilau la bure wewe ukaenda kwingine
nenda mtaa wa pili hapo kuna kibanda wanauza supu ukanywe umalize hangover

BTW eti mkuu mahusiano bora ni yapi ya kujificha ficha au kuwa wazi
Mi nina uhakika sina haja ya kujificha ficha bana
 
Obviously ukijificha lazima kuna tatizo kama hakuna jambo lolote baya sidhani kama mtu unaweza kuwa na mahusiano ya kujificha lakini vile vile hata kile unachoficha siku ya mwisho kitajulikana tu halafu kinaweza kuwa tatizo ukakimbilia kwa watu kuomba msaada na pengine wengine wakashindwa kukusaidia kwa sababu ulikuwa unaficha watu wasijue kama uko kwenye mahusiano, kwahiyo ni vizuri kuwa wazi hata tatizo likitokea watu wanaweza kukusaidia vizuri tu
 
Back
Top Bottom